Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,503
- 176,618
Na vimbambala je?Mbona Mi nauza Samaki Sato anaetaka anipm natuma popote
Na vimbambala je?Mbona Mi nauza Samaki Sato anaetaka anipm natuma popote
Wewe kwenu wapi kwaza nijue kabla sijaongea?Mji unanuka harufu ya uozo wa samaki
Mbona ukikomalua siku hiyo hiyo unapiga,nilikaa mwanza miezi mitatu nikahonga pisi mbili tu,nilivyojua mbinu hiyo kila weekend nagonga demu mpya mpaka nimewachoka sasa,nakutongoza panda kwenye pikipiki tukale nyama choma,nakupelekea moto siku hiyohiyoSa je kama hauna mvuto unataka akupeleke wapi.
Mimi nimefika huko sio Mwanza tu, hadi Simiyu vijijini Wigelekelo hadi Bushashi ukoo! And believe me wasukuma ni kati ya watu ninaowakubali kwa sababu nimeishi nao sana. Nimewasikiliza sana kina Bhudagala Mwanamalonja, Bhulemela Thomas, Juma Kairo, Kado Chiza, Nyakabaya, Nyanda Lunduma, n.k kwaio ni watu ambao ninawaheshimu siwaoni kama washamba au inferior!Hakuna ukabila kwa wasukuma kama wasukuma ni wakabila hakuna kabila Tanzania lisilo na ukabila! Tatizo mnapenda kuwaona wasukuma wawe chini yeu kwa kila kitu laikini hilo sio jepesi maana kibiashara,kielimu na sekta zingine kama madini na kilimo wanafanya vizuri!
Unauzia wapi siku moja nije kukuunga mkuuMbona Mi nauza Samaki Sato anaetaka anipm natuma popote
Nani amesema anashida na nyama za mia mia we nae.Mbona ukikomalua siku hiyo hiyo unapiga,nilikaa mwanza miezi mitatu nikahonga pisi mbili tu,nilivyojua mbinu hiyo kila weekend nagonga demu mpya mpaka nimewachoka sasa,nakutongoza panda kwenye pikipiki tukale nyama choma,nakupelekea moto siku hiyohiyo
Kazaliwa uchochoroni mpakani wa Congo na TzWewe kwenu wapi kwaza nijue kabla sijaongea?
Malayer wapi,wanawake wa mwanza wanapenda kula sana na mimi nakamatia humo humo nawagonga sana kwa chambo za misosi yu maana kuvaa hawajuiNani amesema anashida na nyama za mia mia we nae.
Sema ulikutana na malayer.
Bro wasukuma hata mimi nawajua labda wa mjini ndio hawana shidaNimeishi Usukumani sana na ndio nilipo hadi sahv ninakofanyia kazi Nakiri kabisa WASUKUMA hawana ukabila shida usipowaelewa ile tabia yao ya kupenda kuzungumza sana kilugha unaweza jua ndio ukabila wenyewe ila hawana ukabila kabisa!!!
Jamaa ukiishi nao vizuri utaenjoy tu pamoja na wenzao wakurya maana ndio nimesoma huko Advance hawa jamaa hawana shida kabisa
Sawa BroBro wasukuma hata mimi nawajua labda wa mjini ndio hawana shida
Khekhekhekhekhe ama kweli.Malayer wapi,wanawake wa mwanza wanapenda kula sana na mimi nakamatia humo humo nawagonga sana kwa chambo za misosi yu maana kuvaa hawajui
Wasukuma utawaona wazuri ukiwa hujapata,ukianza kufanikiwa ndio utawajua sio watu wazuriNimeishi Usukumani sana na ndio nilipo hadi sahv ninakofanyia kazi Nakiri kabisa WASUKUMA hawana ukabila shida usipowaelewa ile tabia yao ya kupenda kuzungumza sana kilugha unaweza jua ndio ukabila wenyewe ila hawana ukabila kabisa!!!
Jamaa ukiishi nao vizuri utaenjoy tu pamoja na wenzao wakurya maana ndio nimesoma huko Advance hawa jamaa hawana shida kabisa
Anayo Ile hateful trauma nzito mno. Yaani Kama imejengewa zege la mjerumani so kulivunja utasumbuka. Cha ajabu ukimuulza why hazitakuwa na mashiko mazito ya Mana. Yaani Kuna emotional za chuki ziko ingrained ndani yake kabisa. Halafu Sasa muulize Ni Nini ambacho hakipo mza anakipata kwao. Kwanza mwanza pekee Kuna Sato wanauzwa nje na mji uliozungukwa na migodi,wakulima wa kutosha chakula mpaka tunalishia ng'ombe,mifugo ya kutosha ,maji sio shida ya kutosha ziwa tunalo tuna Mito mikubwa mno ambayo inaleta maji. Mza Ni mji ambao kijana anakuja Hana kitu yaani zero smt hata minus Ila anakuwa bilionaire kabisa. Mwanza Ni majiji miongoni mwa majiji ambao mteja anakuja dukani kwako kuhitaji bidhaa na sio lazima ajue kuwa wewe Ni mwenyeji wa wapi. Kuna majiji mengine sijui Sasa niite vijiji yaani utajulikana kabila lako Kama unayo biashara mpaka hiace zako watu wanaweza wasipande Mana wanapeleka hela kwa watu wa kwao tu. Yaani akiwa ama mkiwa mnaongea Kama hajakujua kabila gani lazima akuulize kuwa wewe Ni mtu wa wapi utadhani iyo itamsaidia Nini.Wenzako wako bize kuwekeza Mwanza wewe unapaponda kila siku! Jitahidi uende usiangalie watu wa Mwanza saizi Mwanza sio ya Wasukuma tu ambao unawaita washamba!
Ukiwa Mwanza kila kabila liko Pale japo kuwa wasukuma bado ni wengi pia!
Itakuwa unachanganya labda ulimaanisha arusha au hujawahi kufika arusha nenda arusha kajionee hiyo ndio biashara kuuKila mkoa una katabia kake na mambo yake. Mji wa Mwanza naupata vizuri ndio maana kutafuta hakuna mipaka.
Hapa naeleza machache labda kwa nilliyo yadaka mimi maana sio mgeni.
Wadada wa Mwanza wale pisi kali wanapenda maisha kuanzia J3 mpaka J3 pesa hipo.
Kanda ya ziwa kwa jiji la Mwanza kila aliyepata mafanikio kwenye biashara, ujambazi, madini, uvuvi na n.k ndoto yake kuishi mwanza tena kwa vijana wenye uchu kufanikiwa maisha.
Vijana na wazee wanapenda kumiliki toto za mwanza ila cha kuchekesha hawa wadada wa mwanza akili zao unaweza kusema msimamo wa bando na waziri.
Kila dada wa Mwanza ukimuuliza biashara gani ufanye basi asilimia 90 yote inawaza duka la nguo na iliyobaki ni vipodozi.
Kuuliza nako ni kudharau ?? Basi kweli hii ni Tanzania ya kifala sanaUsiwe na dharau kweny biashara ya watu. Jifunze kutafuta pesa kama wenzio uone utamu wake na sio kuongea ongea tu.
Au unakuta tabibu ngazi ya chini mfano CA, C O au AMO ambae ni msukuma anaaminika kuliko superiors wake kama MD, Specialist, na Super specialist.
Naona unawasema ma_billionaire wa Arusha kimya kimya.Anayo Ile hateful trauma nzito mno. Yaani Kama imejengewa zege la mjerumani so kulivunja utasumbuka. Cha ajabu ukimuulza why hazitakuwa na mashiko mazito ya Mana. Yaani Kuna emotional za chuki ziko ingrained ndani yake kabisa. Halafu Sasa muulize Ni Nini ambacho hakipo mza anakipata kwao. Kwanza mwanza pekee Kuna Sato wanauzwa nje na mji uliozungukwa na migodi,wakulima wa kutosha chakula mpaka tunalishia ng'ombe,mifugo ya kutosha ,maji sio shida ya kutosha ziwa tunalo tuna Mito mikubwa mno ambayo inaleta maji. Mza Ni mji ambao kijana anakuja Hana kitu yaani zero smt hata minus Ila anakuwa bilionaire kabisa. Mwanza Ni majiji miongoni mwa majiji ambao mteja anakuja dukani kwako kuhitaji bidhaa na sio lazima ajue kuwa wewe Ni mwenyeji wa wapi. Kuna majiji mengine sijui Sasa niite vijiji yaani utajulikana kabila lako Kama unayo biashara mpaka hiace zako watu wanaweza wasipande Mana wanapeleka hela kwa watu wa kwao tu. Yaani akiwa ama mkiwa mnaongea Kama hajakujua kabila gani lazima akuulize kuwa wewe Ni mtu wa wapi utadhani iyo itamsaidia Nini.
Mwanza iacheni tu iitwe mwanza