Wanawake wa module pasua kichwa

Kumbe elimu inaleta uzuri!!,umenifumbua macho nilikua sijui
 
uwezo wzko mdogo
 
Molembe karusha jiwe gizani, madhara yake ndio haya sasa!

Aaaa wapi anapigana vita ya mawe huyu wakati nyumba yake ni vioo vitupu! Wenye Nyumba za zege wako kimya hawarushagi mawe hovyo!
 
Last edited by a moderator:

if you real know that your strength is little,don't carry heavy loads.
 
Mwanamke ni kiumbe kiadilifu ila mazingira yanatubadilisha sana. Kuna gal mmoja tulisoma naye na mama yake alipokuja siku moja shuleni na toyo tena anaendesha mwenyewe binti alimkana tulipomwambia anaitwa na mamaye. Hii nafikiri imenikumbusha hapo. Wanaume nafikiri hata babaye aje kwa miguu haiwezi kutokea kama ya sisi mabinti.

Pasua kichwa inaweza kuanza kwa kuiga, kusikia etc. Naturally a woman is loving and tender.
 
Kama wewe mwenyewe Molembe sio chanzo cha utata katika ndoa yako basi utakua umeingia kubaya na sio sababu ati kasoma....
mbona tumesoma, tumeolewa na tunawapenda na kuwaheshimu waume zetu sana?? ngoja waje wenyewe wakuelezeee
Ukisimama kama mwanaume mwanamke atakuheshimu tuu hata awe rais wa nchi, ila ukiwa legelege lazima achukue usukani kuokoa jahazi
 
Unaumwa wewe kwaio usome wewe mwanamke asisome au
 
Sijawai kudate na mwanamke so called msomi wala asosoma,sasa nashindwa kuchagia hoja kwa vivid examples cc mimi49
lakini nimeshuhudia mwanamke hajasoma,na mumewe hajasoma,ila mwanamke ni pasua kichwa hasaaaa kama hao mnaosema wamesoma
 
Kama yamekukuta pole sana mkuu Jiamini.
 
wanawake dizaini hiyo ni kwaajili ya maonesho si wakuweka ndani
 
mimi49 nyinyi wanawake au wasichana baadhi yao wapo wasomi ambao wapo smart na kuna baadh yao wapo ambao si smart kwa kigezo cha elim,na hawa ambao hawapo smart kinachowaangusha hawana elmi ya dini zao,hawaelew wajibu wao kwa mujibu wa miongozo ya kidini,wanawake wanaotambua wajibu wao na kutekeleza hawawez kuwa matatizo.huyu mdau aloleta uzi alichoeleza ni cha kweli,lakin me nadhan hapa ni kwa wanawake wenyewe kujipima,pia aina za wanaume huenda ikawa ni tatizo,kama msomi amekutana na mwanume valuvalu lazima atakusumbua na utalalama na kuhisi ana matatizo,vilevile wanawake wasom baadh yao hawana subira,hata yanapotokea matatizo ya kimahusiano wao hufanya rapid decision,badiliken wadada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…