Wanawake wa Kinyakyusa

Status
Not open for further replies.
Nimezaliwa mbeya wako poa tatizo moja kubwa au sifa yao kwa upande mwingine wanajiamini kupita kiasi hata kwa kitu ambacho yuko wrong kabisa pia kama hujasoma kama yeye usijaribu kabisa kumuoa saa yote atakutema, wanapenda kujionyesha sana mwanamke wa kinyaki hata kama wewe una 100,000 yeye ana 10,000 atataka awe juu.
 
Wanawake wa Kinyakyusa wengi ni wababe sana na kwa wale wasio na kazi/elimu wakija town kazi wanayotaka ni u-bar maid, hata ukichukua house girl haichukui mwezi keshakimbialia bar.
Wanaume wao wanapenda mfumo dume sana and they are so arrogant.
In general Wanyakyusa hawatofautiani sana na Wahaya; arrogance, tharau, ubinafsi; Sorry kama nimeoffend Mnyakyusa yeyote humu but thats my experience nimesoma na wanyakyusa , ukimwomba mnyakyusa kitabu atakupiga chenga ili mradi asikupe na ampe mwenzie hata asiyehitaji.

mi sijui nimechemka
 
Kutokana na hii thread nimegundua pia wanapenda kulipuka na kukasirika haraka. Humu ndani wanawake na wanaume wa kichagga wanasemwa kila kukicha lakini wala husikii m2 kakasirika wala kurushiana maneno, inawezekana ukweli unauma.
ahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
halafu wewe una kama na madharau flani na watu wa mby vile,..nimekusoma jana kwenye ile thread ya kibonde ukileta madharau yako,..nilivyotaka kukupa ukweli wako mod waka imovuzisha....acha upuuzi director


Mkuu thibitisha madharau yangu kwa watu wa mbeya'soma vizuri pale juu'nimezaa nao'mimi ni mkwe mbeya'kusema hawajui kukataa ni uongo?au thibitisha kuhusu guest bubu za bei rahisi'nimekaa pale mbeya sana mkuu'usinisome sivyo
 
wanajua kulia sana,
wanauwezo wa kukaa msibani hata mwaka mzima,
wanauwezo wa kupata mimba huko huko msibani na wakarudi nyumba na mtoto,
ni hodari kubeba watoto mgongoni,
ni hodari kuvalisha watoto nguo za kuwakinga na baridi,
anauwezo wa kwenda mbali na nyumbani kwa ajili ya biashara yake ya ndizi,
atakaporudi nyumbani ni lazima amnunulie mume wake shati na suruali hata kama ya mtumba.
wagumu sana kutoa msaada,
 
mhhh!!!!!
sjui km kweli bt wote niliowashuhudia kwa majiran na marafiki ni kwamba WANAUME WA KINYAKYUSA WANAPENDA SANA UDUMELISM..yaan kushurutisha tu ..anataka aexercisse udumelism ata kwa mtoto wa miaka 2... ukifanya kitu kdg tu anajihisi UMEMDHARAU,,,yaan full mashtukio

Useamayo siyo kweli kabisa nadhani hata kabila lako ni wale niangusage tu sambi sako mwenyewe...... katika wadada wastaarabu Nyakusa wanaongoza ila hawapendi kudharauriwa na kiumbe yeyote so keep distance...... Nambie kabila moja ambalo halina mfumo dume maana mara kumi wanyaki kuliko wachaga
 
Mkuu thibitisha madharau yangu kwa watu wa mbeya'soma vizuri pale juu'nimezaa nao'mimi ni mkwe mbeya'kusema hawajui kukataa ni uongo?au thibitisha kuhusu guest bubu za bei rahisi'nimekaa pale mbeya sana mkuu'usinisome sivyo

director nimekusoma ila kimtindo jinsi ulivyosema inaonekana wazi kuwa unadharau wanyaki au ni vile umezaa nao mmh acha dharau mkuu ni kabila gani ambalo halifanyi mambo hayo mmmh!! Wapi kusikokuwa na hizo gesti bubu acha kabisa dharau!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom