Naomba kufahamu

Naomba kufahamu

mandigo

Member
Joined
Jul 29, 2026
Posts
6
Reaction score
0
Naomba kufahamu kwa undani kuhusu wanawake wa kinyantuzu kutoka bariadi simiyu
 
Wachawi, hao wanawezana na wasukuma wenzao wa bariadi na Shinyanga. Ila kwenye kazi wako vizuri (Sio wavivu) na usione mashamba yana nawiri na mavuno makubwa hahaha.....kuna watu wanabebwa usiku na kwenda kufanya kazi mume akiwa amelala fofofooo
 
Awe mzur awe mbaya
Awe na tabia nzur au mbaya

Jambo ni moja tu kwa utakula na wenzio
 
Back
Top Bottom