Wanawake wa Kikenya

Wanawake wa Kikenya

Wabongo ni waoga sana wa kuthubutu kujaribu na ndio maana hatuendelei, Soko la. EAC lishafunguliwa hilo jamana, yaani wakenya ardhi wachukue, kazi zetu wachukue hadi dada zetu pia, Oa hiyo mkenya ikae humo! You can't get an A if you are afraid of getting an F!
 
Code:
Nahitaji kujua sifa za hawa wadada toka Kenya. Najua wengi wenu  mmeshakumbana nao na mnawajua sifa na tabia zao. Nahitaji kujua wasifu  wao ili nijue kabla sijafika nae mbali huyu demu wa baba Moi ili nijue  kama kusuka ama kunyoa.
Natanguliza shukran zangu!!

If you respect her then stops this search of strereotyping human souls.......................................we are all different and one comport is not and has never reflected or represented either of anybody..............
 
Ushauri wangu, kabla hujaanza kutoka na mdada mwingine, lete mada JF ajadiliwe. Maana sasa naona umepata mtihani kwani umesha fall. Next time Consult JF before falling.
 
Mkuu hao ma-she wa KE ni arrogant kuliko maelezo. I wouldn't advice you, but if you can live with it go ahead.
 
Nilikuwa na uhusiano na mmoja, nilijuta kumfahamu. It is was a nightmare.Kuna siku alinipigia simu akaanza kunitukana bila sababu yoyote. Mazee, alimwaga mvua ya matusi si mchezo. Kesho yake anaapologize eti ilikuwa pombe tu nikamwambia kama ni pombe kwani hakumpigia mama yake na kumtukana. Nikamwambia it is over between us. Nikajua yameisha, du kumbe ngoma ndo imeanza! Kilichoendelea, huwa sipendi hata kukumbuka hiyo sinema. Kenyan women sucks. Period.
 
Nilikuwa na uhusiano na mmoja, nilijuta kumfahamu. It is was a nightmare.Kuna siku alinipigia simu akaanza kunitukana bila sababu yoyote. Mazee, alimwaga mvua ya matdi si mchezo. Kesho yake anaapologize eti ilikuwa pombe tu nikamwambia kama ni pombe kwani hakumpigia mama yake na kumtukana. Nikamwambia it is over between us. Nikajua yameisha, du kumbe ngoma ndo imeanza! Kilichoendelea, huwa sipendi hata kukumbuka hiyo sinema. Kenyan women sucks. Period.
<br />
<br />
Well said mkuu
 
Jamani katika pitapita zangu nimekutana na kimwana mkenya, mwenye asili ya hukoo Nyanza. Tumeanza ku-date kama miezi 6 iliyopita. Ni mzuri wa sura na tabia yake so far ni poa. Mcha Mungu kiasi na shule kichwani imetulia, na ana career. Kiswahili ndio hicho hicho cha kuvunjavunja. Kwa kifupi so far tume-click!! Kila siku naona hapa jamvini sifa za wanawake mara wa Kirangi, Kichaga sijui Wahaya and so on.
Nahitaji kujua sifa za hawa wadada toka Kenya. Najua wengi wenu mmeshakumbana nao na mnawajua sifa na tabia zao. Nahitaji kujua wasifu wao ili nijue kabla sijafika nae mbali huyu demu wa baba Moi ili nijue kama kusuka ama kunyoa.
Natanguliza shukran zangu!!

Hao wakenya kwa mizinga dah noma sana mkuu huyo vp?
 
sasa wewe wataka great thinkers tukuchagulie mke, so the next girlfriend you'll date utamleta hapa tu mdiscuss. let me try and dimistify some of the stereotypes that have been presented here 1. I am in my late thirties, thus ive dated a fair number of Kenyan ladies, in all my life I have never been with a circumsised lady, so that talk of 99 percent is pure hogwash. 2. We all love money, some of us abit more but the fact is that we all love paper. 3. Our women are not arrogant and know it alls, just abit of confidence, you know there is a thin line btw cockiness and confidence. 4. Upande wakupika huwezi compare na wasichana wa bongo, lakini reality nikuwa msichana wabongo atangoja umletee hicho chakula, wakenya atatoka nke kukitafuta. 5. Wanaume wa Kenya tunapenda wasichana wa TZ coz most of them are submissive, and are easy to lay. Kenyan women are assertive and know what they want. Kama huna uhakika wamtaka huyo msichana achana na yeye, kwa kuwa umemleta tumjadili hapa inaonekana bado humjui sana, spare yourself the missery. Wabongo bana, hata kukatia msupa unauliza heads up from strangers. By the way, msichana wangu mpare yupo sana, tushafunga nikaa, na bado nina mtoto na msichana wa kikenya, na i honestly luv the Kenyan more.
 
Unampenda mkenya more sababu unaiba, ungekuwa umemuoa ukakutana na mpare bado ungesema unampenda mpare more!
 
Acha kumwingiza mwenzio mkenge
 
Wanawake wa Kikenya ndugu yangu usijaribu.Nimebahatika kuwa na mjaluo ni watu,wa amri sana,wanapenda pesa mno,na swala la usaliti nje nje!.Wakenya wenyew wanapenda sana wa tz coz wanaheshima mbele ya mwanaume.Wakongo na wakenya looks the same.
 
Jamani hii Thread ifungwe maana kila mara ninapoiona inaniletea hasira,uchungu na hata kisasi kama hakuna sheria hawa wanawake wa pande hizo hawafai na sikuwahi kumjaribisha hata mmoja iwe kwa utani au ukweli akagoma na kusema hapana ni wavuaji wa nguo wazuri na kero zisizo na idadi
 
Back
Top Bottom