Kiumbemwanadamu
Member
- Nov 27, 2010
- 32
- 11
Ndiyo Maana Wazee walisisitiza kuoa/kuishi na mtu ambaye mnafanana taratibu za kiutamaduni. haya ni makosa yanayoletwa na muingiliano wa tamaduni uliopo sasa. Pia vitabu vinasema "tuishi na wanawake kwa akili" vile unavyomjenga mwanzo ndivyo atakavyokuwa mbeleni. Unaweza kumtengeneza mwanamke wa aina yako na mkaenda vizuri. ni elimu ndefu sana kuandika.