Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,268
Du Sherrif mm ningekushauri km ni Mkisii achana nae kabisa hata awe Mkikuyu, Mjaluo, Mtaita wote hao ni watafutaji wa mali na wanatapanya hovyo labda uende Mombasa au Lamu kwenye Dini yako au hata wasomali watakuvumilia. Nawashauri hata km waTZ wengine msiwakubali au kuwaoa waKenya mm nilikuwa na rafiki wa kike (sio wa kula v2) Mkikuyu Mirerani akanihama na kujiunga na matajiri wengine kuniona sina mwelekeo wa njululu