Aizat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2025
- 239
- 635
Jaribu kuusoma hasa comment za mwanzon na mwishon utacheka ufe🤣🤣🤣🤣Wanaume hawanaga jema! Jiulize wanataka nini sasa😅
Jaribu kuusoma hasa comment za mwanzon na mwishon utacheka ufe🤣🤣🤣🤣Wanaume hawanaga jema! Jiulize wanataka nini sasa😅
Hebu ngoja nikitulia nijichekee zangu😅Jaribu kuusoma hasa comment za mwanzon na mwishon utacheka ufe🤣🤣🤣🤣
Unadhani mtu ukishampenda kuna ubaya utauona?Ni mzuri wa sura na tabia yake so far ni poa. Mcha Mungu kiasi na shule kichwani imetulia, na ana career. Kiswahili ndio hicho hicho cha kuvunjavunja.
Nilikutana na Single Maza Mmoja mzuri Sana kama Malaika, Ile Shape Tu ilikuwa ya kukata na Shoka. She was very Brilliant.Hawajui kupika kwa hiyo jiandae kulishwa SUKUMA WIKI kutwa mara tatu kama dozi hadi ukome!
99% wa wanawake wooote wa kikenya wametahiriwa hivyo jiandae kwa mapenzi butu!
Ni wababaikaji sana na ni maharage ya Mbeya.... hasa akimwona hata rafiki yako ni handsome na anazo fweza unaweza kumegewa kiulainiiiiiiiiii
Wengi wao huku ughaibuni (US) wanawahusudu sana wanaume wa kibongo.
Wengi wao pia ni washamba lakini wanajiona much-know.
Hawajui kupiga pamba kama mademu wa kibongo.
Kama mchangiaji huko juu alivotonya, wanapenda sana ndoa na watu wa makabila yao kwa hiyo kukutosa akipata wa kabila yake kwao sio issue.
Kazi kwako