hahaha,,nimekumbuka ile issue nikacheka sana,mcng u!
Yaani we acha tu mtu wangu hawa watu ni matatizo matupu na kama ukijidai mtanzania kweli mzalendo na mpenda amani ya kitanzania ukaenda kumtafuta mtu wa karibu yake yaani mkenya mwenzake kwamba atumie busara kidogo ajaribu kuongea na ndugu yake aache wenge na atulie utashangaa wanaungana na kuwa kitu kimoja yaani unajikuta kesi ya nyani umempa ngedere then anakuwa adui yako kabisa na anampa mbinu nyingine kali zaidi ya kukukera.
KIFUPI HAWA WATU HAPANA SIYO KABISA CPENDI UBAGUZI LAKINI HAWA HAWABEBEKI HATA NA MBELEKO YA CHUMA