Wenzetu mlizaliwa benki au kwenye taasisi ya fedha,unakuta anakuambia pesa kwake ndio kila kitu,unajiuliza amezaliwaje,analipia wapi pumzi yake,umemuoa anapenda malumbano,kitu kidogo anagombana hatari.
Unafanya anavyotaka lakini siku ukishindwa kidogo, yale yote yaliyopita yamefutika pia, kama game zisizo na save option.
Tatizo siyo mchaga ndugu, tatizo Ni wewe hukufanya upenbuzi, mbona Mimi Nina mwanamke wa kichaga Ni mtuluvu Sana, na
Unajuta kuoa, maana kuacha unawaza mwanao ataishije, wewe uliishi bila baba au mama unapenda mwanao afurahie kila uwepo wenu,hutaki apate shida,lakini kwa hili unajikuta unatamani kushindwa kuliko kushinda.
[/QUOTE
Tatizo siyo mchaga ndugu, tatizo Ni wewe hukufanya upenbuzi, mbona Mimi Nina mwanamke wa kichaga Ni mtuluvu Sana, na hapo kabla nlishakuwa nao wawili but tuli achana kwa mambo ya ujana Tu, mkuu mi nafikiri Ni wewe ulikosea kufanya chaguzi, hakuwa type yako, nakwambia hivyo kwani Mimi Kuna mmoja nlikuwa naye alikuwa Si msumbufu kwangu Na alinisikiliza, Na siyo kwa sababu nlikuwa nna uwezo wa Ku mprovidia, NO, she was within my control, but kwa sasa hiyo aliye naye analipata joto la jiwe, Na Mimi nilijua kuwa Kama angeenda kwa mtu mzembe basi hiyo mtu angeipatapata.
Cha msingi unapofanya chaguzi angalia pia control power uliyonayo, tatizo Ni kuwa wakati wa uchumba tunaogopa kufanya hiyo test tukihofia kumwagwa, but mwisho WA siku ndo malalamiko Kama hata.
Pole kaka.