Wanawake wa kichaga mkoje?

Wanawake wa kichaga mkoje?

Huyu hana lolote atakuwa ameishtukia flat screen 42'' anatafuta sababu ammwage ili aoe tukunyema
 
Wenzetu mlizaliwa benki au kwenye taasisi ya fedha,unakuta anakuambia pesa kwake ndio kila kitu,unajiuliza amezaliwaje,analipia wapi pumzi yake,umemuoa anapenda malumbano,kitu kidogo anagombana hatari.

Unafanya anavyotaka lakini siku ukishindwa kidogo, yale yote yaliyopita yamefutika pia, kama game zisizo na save option.

Unajuta kuoa, maana kuacha unawaza mwanao ataishije, wewe uliishi bila baba au mama unapenda mwanao afurahie kila uwepo wenu,hutaki apate shida,lakini kwa hili unajikuta unatamani kushindwa kuliko kushinda.

Misimamo na mapokeo asilimia mia ya mabinti wakichaga/wanawake..kuolewa kwao ni fasion..lkn haitoshi binafsi naamini binti wakichaga wameumbwa kutawala..achilia mbali kabla hamjaingia ndoani mkiwa wachumba tu atataka apande nakushuka kichwa huku akipima oil...unamchukuliaje ili akiingia kwenye ndoa mikono yake itakuwa inauzoefu tayari kushika misikio yote mawili kwa rutumachi mwanzo mwisho..wabishi,wajuaji,...mapenzi ndo hivyo tena yakunduliza..ili hali kasikia kwa shoga yake na atakufanyia siku moja tu siku ya pili akili ishahamia kwenye alichopokea toka kwa wazee...(PESA)Sasa basi dawa yao huwa ni ndogo mno..Ukiingia kwenye mahusiano na binti wa kichaga usilogwe ukajiachia kiasi akujue kupitiliza kiasi..na ukumbuke huwa ni wataalam wakusoma ramani kwa namna yoyote akujue "in&out"na akijua tu madhaifu yako baas usitegemee akusaidie bali ndio ataitumia km fimbo yakukuchapia..Mungu awasaidie sana wanaume wote waliojikuta wamo ndani ya himaya ya kichaga km wakwe....angalizo.(SI WANAWAKE WOTE WAKICHAGANA NIWACHACHE SANA WAMEBARIKIWA KUWATII WAUME ZAO,WENGI NDIVYO WALIVYO)..Dada zangu JF msinichukie kwani nilichokiandika ni uzoefu na changamoto niliyokutana nayo kwa hili jambo.
 
So your wife (being a one among thousands if not hundred thousands of chagga women) is a representative of all chagga women in Tanzania, right? Grow up. Ukabila utawafikisha pabaya all you chagga bashing people in this forum. For your information wachagga are the most hard working and educated people in Tanzania. That is in their history, go google their history then you will know biashara na ujasiri mali is in their blood. So bashing them aint going to make you all feel better or make your tribe better than them.
 
Wajanja hawachuni. Analeta zengwe mpaka uwe tajiri na mzae watoto japo wa2, kinachofata ITV....

Mkuu kama utamuoa huyo mchagga kaa tayari kwa lolote. Si unaona watu wanavyolaumu humu?

haonyeshi kama ana tabia yoyote mbaya, ila ni mchapakazi
 
Na hayo unayoyataja ndo yanaharibu ndoa kama hujuhi,mambo ya eti kwenu sijuhi mna ghorofa,meli sijuhi majumba ya kifahari havina uhusiano na unakokwenda kuolewa,ulikubali kwa hiari yako akuoe sasa siyo baadae unaanza kumletea dharau eti kisa kwenu pazuri ama ni matajiri kwani nani kakwambia yeye siku moja hawezi kuwa fulani ama wangapi walikuwa nazo lakini leo majarala? ukianza hivyo basi ujue unaenda kuiharibu ndoa yako mwenyewe kwa ujinga wako

ni kweli, ndoa haijengwi kwa tamaa za mali inajengwa kwa heshima na upendo.
 
Umeona sasa. Kumbe we mwanaume. Kwa mwanaume binti wa kichagga wala hamsumbui. tatizo ni hivi vivulana vimarioo. dada zangu acha wawapige tu. baaas


Ongea tu hayajakukuta....naamin.kinga ni bola kuliko tiba...wachaga hapana
 
Mwambie ni wote wako hivyo ili akae mbali na dada zangu..... vinginevyo atapigwa tu. nami nasema apigwe tu. Nyambaf

Nmeish uchagan moshi miaka mitatu inatosha kuwajua wachaga...napenda weupe ila wasingida wachaga hapana wapite tu....
 
Narudia tena kwa mwanamme wa ukweli anayejitambua hizi kadhia hawezi kukutana navyo mpk ke anashindwa kukuomba msamaha.Pia kama kosa ni la kwako kwa nini yeye ndio aombe msamaha.mpaka uvurugiwe future hujitambua no halali yako.maisha no makubaliano sio ubabe

We ni ndezi kama mandez wengine...kuoa mchaga ni kuoa elnino...hakuna uanaume kwene ushirikina...#napenda weupe ila wachaga hapana
 
Unapumuliwa kisogoni we we,unaanzaje kutapika kwenye nyuzi za wenzio

Maneno hayawez niua yananifanya niwe ngangari!!!huna akir unaropoka hiwez handle pressure wala critisism....you are not a men
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom