Wanawake wa kichaga mkoje?

Wanawake wa kichaga mkoje?

Utoto unakusumbua. Ukikua utaacha.

Hiyo dawa kwanini umwambie PM kama si woga wa kitoto?

kwani wewe ni mmoja wao aisee! LOVE is twoo way traffic, lazima kuwe na common understanding ucant force kila kitu upande wako noooo! and kama unataka pesa unasema nijue kabisa no money no honey c ndo zenu ckuhizi, ila ngonjera hapa kwangu no way! ,,,,,, satsfy my desire I satsfy ur needs dats all,,, uneed endless love lets sit down and discuss n see where life takes us sio uje na kibesi while im using my own money subutu!!...
 
Sio wachaga peke Yao wenye tabia hii, ni hulka ya mtu, wako wachaga ni wastahmilivu sana kwa waume zao na niwaelewaa..

wapo ila wachache sana. Nina mchumba angu mchaga kwa malalamiko ambayo wenzangu wanayatoa kuelekea wake zao wachaga najihisi nina bahati, ni mnyenyekevu kwa kweli, nasikia raha hata kutaja jina lake anaitwa Grace
 
Wanaokosea ni hao wanao jumuisha wachaga wote kuwa na tabia moja.Tabia hazina kabila kama mtu anatabia mbaya ni yeye wala ukoo wake haukumfundisha kuwa na tabia mbaya.

Labda niseme tu wachaga wanapenda sana kuitafuta hela kwa kujishughulisha kwa namna yoyote ile.

Sasa mbona na wewe unajumuisha wachaga kuwa "wanapenda sana kutafuta hela kwa kujisguhulisha" ambacho si kweli.

Wewe na uliyemnukuhu mnatofauti gani?????
 
wapo ila wachache sana. Nina mchumba angu mchaga kwa malalamiko ambayo wenzangu wanayatoa kuelekea wake zao wachaga najihisi nina bahati, ni mnyenyekevu kwa kweli, nasikia raha hata kutaja jina lake anaitwa Grace

Anakuigizia huyo ngoja umuoe ndio uje hapa uandike haya
 
Tafuta hela acha njaa,mbona wazawa was hapa mjini ndio njaa mwanzo mwisho

Da problem sio njaa kiivyo ihate that hulka jaman why dont u be simple n understanding vijitabia vya kumpanda mtu kichwani inakuwaje yaani,, Icant do as u say rather I do as we agreed! collectively we make decission ila maswala ya kufanyia maamuzi salon n then ur comming na agenda zako kwangu haitakaa ikubalike na hoja yako watafuta hela hapana!
 
kwani wewe ni mmoja wao aisee! LOVE is twoo way traffic, lazima kuwe na common understanding ucant force kila kitu upande wako noooo! and kama unataka pesa unasema nijue kabisa no money no honey c ndo zenu ckuhizi, ila ngonjera hapa kwangu no way! ,,,,,, satsfy my desire I satsfy ur needs dats all,,, uneed endless love lets sit down and discuss n see where life takes us sio uje na kibesi while im using my own money subutu!!...

Hii ndio mbinu uliyotaka kumpa mdau via PM?
 
Da problem sio njaa kiivyo ihate that hulka jaman why dont u be simple n understanding vijitabia vya kumpanda mtu kichwani inakuwaje yaani,, Icant do as u say rather I do as we agreed! collectively we make decission ila maswala ya kufanyia maamuzi salon n then ur comming na agenda zako kwangu haitakaa ikubalike na hoja yako watafuta hela hapana!

Kuna mtu aliyekulazimisha uwafuate? huwezi si unaacha? yanini kulalamika mziki mbovu kumbe we ndio hujui kucheza?? Ukiona huwawezi we chapa lapa.... wanaowaweza watawachukua na wala hutasikia hiki kilio kama cha fisi mwenye njaa aliyekosa mzoga.
 
amegundua kuwa linalosema ni kweli na hana hoja ya msingi

Lipi hilo la ukweli? Kwamba wadada wa kichagga wamewakalia kichwani mpaka mnalialia hovyo? Ni aibu sana kwa mwanaume kwa maana ya uanaume kulialia hovyo kupelekeshwa na mwanamke bila kujalisha kabila. Mwanaume wa kweli ndo mwenye kauli ya mwisho kwenye nyumba.

Kulialia kwa mwanaume kwa kisingizio cha uchagga ni kuzidi kuwapa wachagga heshima kuwa wanawake wa kichagga wamewashindeni nguvu. poor boys.

Nami nasema wawapige tu. Tena sasa waanze kuwatieni bakora makalioni mwenu mpate akili zaidi. Na mpigwe tu.
 
kwa wanawake wa kichagga wa upande wa machame;
baada ya vita kuu ya kabila hilo miaka ya 1700 (mwishoni)
ilitokea wanaume wooote kuuawa na wa kibosho.
Kwa hiyo wanawake hao wakageuka(kubeba majukumu ya wanaume) vichwa katika kuendesha shughuli za kifamilia.
Hali hiyo iliendelea kurithishwa kutoka kizazi hadi kizazi.
Ubabe huu wa kuwa ma jike dume uliwainua kiuchumi na wachagga wa sehem nyingine wakaanza kuiga tabia hiyo.
Hivyo basi unapoowa watu hao jua kwamba wana taka wawe vichwa otherwise akukute kiuchumi uko vyema.
Pamoja na hayo yooote they can kill anytime.
Believe me.
 
  • Thanks
Reactions: B12

sio kulia ila lazima wanawake wakichaga wabadilike, sio kufikiria pesa muda wote. Kumbuka upendo wa kweli katika ndoa hausababishi na pesa, ila maridhiano.
 
Sasa mbona na wewe unajumuisha wachaga kuwa "wanapenda sana kutafuta hela kwa kujisguhulisha" ambacho si kweli.

Wewe na uliyemnukuhu mnatofauti gani?????

Mi nmebase upande ulio positive yeye kawaangalia wachaga in a negative way.All in all tabia haina kabila inategemeana.
 
kwa wanawake wa kichagga wa upande wa machame;
baada ya vita kuu ya kabila hilo miaka ya 1700 (mwishoni)
ilitokea wanaume wooote kuuawa na wa kibosho.
Kwa hiyo wanawake hao wakageuka(kubeba majukumu ya wanaume) vichwa katika kuendesha shughuli za kifamilia.
Hali hiyo iliendelea kurithishwa kutoka kizazi hadi kizazi.
Ubabe huu wa kuwa ma jike dume uliwainua kiuchumi na wachagga wa sehem nyingine wakaanza kuiga tabia hiyo.
Hivyo basi unapoowa watu hao jua kwamba wana taka wawe vichwa otherwise akukute kiuchumi uko vyema.
Pamoja na hayo yooote they can kill anytime.
Believe me.

Heshima yako. Kuna sehemu popote naweza kusoma hii historia?
 
sio kulia ila lazima wanawake wakichaga wabadilike, sio kufikiria pesa muda wote. Kumbuka upendo wa kweli katika ndoa hausababishi na pesa, ila maridhiano.

Wameshakuambia wao wanataka pesa. kama huna uwezo wa kupata pesa si uchape lapa ukatafute wanaoendekeza mapenzi? Mziki hauuwezi unaushobokea, ukikushinda unaanza kulalama.

Chapa lapa.... watu wanataka pesa, mapenzi hata nyau wanayajua.
 
Hapana bw shemeji. mi sina neno na wewe. aftaroo umesema dada angu hafurukuti kwako. Na huo sasa ndo uanaume. unashindwa kumdhibiti mkeo unakimbilia kwenye kabila. shame!!!
Bwa shemeji lazima uishi kwa kanuni au sio? Mambo yakienda ovyo mnasaidiana na kuambiana tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom