Wanawake wa kichaga mkoje?

Wanawake wa kichaga mkoje?

Nadhani anatafuta mbinu ya kufikisha ujumbe ili kujenga familia yake bila kuleta ufa. Mahusiano miaka yetu Yana shida Sana Khantwe, watu wapo pamoja kwa Nia tofauti. Huyu anataka umzalie awe na watoto na aitwe baba, mwingine anataka aolewe ili aweke heshima kwa wenzake, huku akitafuta sehemu nyingine ya kuchuma pesa...! Ni tabu tupu miaka hii..!

Hiyo ndo shida kubwa..umesahau mwingine anataka aoshe tu rungu mahari akatoe sehemu nyingine. Ila nakwambia ni raha sana mkikutana watu wenye nia moja
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna sehemu mnakosea jirekebisheni, kwa nini kila mtu anawananga nyie tu, kwa nini nyie tu na sio kabila lingine...kuna kitu hakiko sawa labda..!

Tatizo wanalalama lakini wanagombea kuwaoa kila uchao. nani mjinga kati yao?

Kill them vyasaka dada zangu.... Kill them all afu mrudi home kaka zenu tutawaoa wenyewe. Kwani nini bhana.... hata watoto wa Adam walioana wao kwa wao.
 
Waache kutuoa.......wanatung'ang'ania wa nini........waende kwenye hao makabila wengine........
Wachagga are there to STAY........miaka 800.........

Ifikapo saa kumi jioni leo nataka list ya vyasaka ulioshawahi kuwashughulikia. adhawaiz mi si kaka yako.

Baada ya Mungu inafuata hela..... Mapenzi hata nyau wanafanya.

Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo ndo mpango mzima.
 
Nyie sio wa kwanza kutafuta pesa, sio kabila la kwanza kuwa na pesa, hio haina mantiki kabisa kiongozi. Labda useme 'mna tamaa ya pesa' you wanna reap where you don't saw..!

Ni kweli kabisa Mkuu, katika maisha kosea kujenga nyumba usikosee kuoa au kuolewa.
 
Kama wewe ni Mchaga kweli basi hupaswi kuniuliza swali hili...

Hujajibu swali watu8 ni matambiko gani wanawafanyia yanayowafanye watu wengine washindwe kuishi nao?
 
Last edited by a moderator:
Ni madhara ya matambiko na mila wafanyiwazo sana na wazee wao...

Wengi wao si kwamba wanapenda kuwa hivyo na kimsingi hata wanaume wa kichaga wana shida sana ndoani...

Hahahahah Mpwa hata wewe? Unaniharibia moves zangu mchana kweupe namna hii?
 
Hujajibu swali watu8 ni matambiko gani wanawafanyia yanayowafanye watu wengine washindwe kuishi nao?

Hahahah watu bado wanaishi kwa historia kama litimu langu la liverpool.
 
Last edited by a moderator:
Nyie sio wa kwanza kutafuta pesa, sio kabila la kwanza kuwa na pesa, hio haina mantiki kabisa kiongozi. Labda useme 'mna tamaa ya pesa' you wanna reap where you don't saw..!
Eli79 , kama ni tamaa ya hela ya kwetu ipo juu sana basi ndo maana tunaitafuta kwa hali na mali.Ukioa mwanamke wa kichaga lenu liwe moja kuitafuta pesa kwa hali yoyote .
 
Last edited by a moderator:
Ifikapo saa kumi jioni leo nataka list ya vyasaka ulioshawahi kuwashughulikia. adhawaiz mi si kaka yako.

Baada ya Mungu inafuata hela..... Mapenzi hata nyau wanafanya.

Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo ndo mpango mzima.

And the list continue........kubafu zao........and you know wora am seyin........ha ha ha ha..........
Wanatutaka na sisi hatuwataki........
 
Eli79 , kama ni tamaa ya hela ya kwetu ipo juu sana basi ndo maana tunaitafuta kwa hali na mali.Ukioa mwanamke wa kichaga lenu liwe moja kuitafuta pesa kwa hali yoyote .

Na sio kulialia kaa nyau, right?
 
Last edited by a moderator:
And the list continue........kubafu zao........and you know wora am seyin........ha ha ha ha..........
Wanatutaka na sisi hatuwataki........

Wakijipendekeza kuleni vichwa, December leteni mahera nyumbani tufanye yetu. Sawasawa?
 
pole sana mkuu. hiyo ndio tabia halisi ya akina mamka. chezea mchaga wewe!
 
Hahahah watu bado wanaishi kwa historia kama litimu langu la liverpool.
Umeona ee, wakati naolewa wajita wale walimkalia mme wangu kooni eti kwanini anaoa mchaga, nashukuru aliwaambia sioi mchaga namuoa mkabasia.
 
Hiyo ndo shida kubwa..umesahau mwingine anataka aoshe tu rungu mahari akatoe sehemu nyingine. Ila nakwambia ni raha sana mkikutana watu wenye nia moja

ni nzuri sana lkn kuna ugumu wake hata wanandoa hufunga kwa kuridhishana au kwa sababu ya kitu fulani tu lakini kila mtu anamfikiria mtu mwingine akilini mwake je tutafika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom