ha ha ha ! penye ukweli badilikeni basi msiwe kama wazee wetu wa CCM hata sehemu ya ukweli wanaumauma maneno hatma yake ina madhari . jamii inapokutazama ikakwambia upo hivi kubali coz ndo wanakutizameni. kwa nn msemwe sana? fikiria usikurupuke ! alafu kubali mapungufu tunawambieni hivi coz ni WaTZ wenzetu tafuta pesa kwa akili si malumbano mwenzio akikosa tu ugomvi.
na hata nyie kwa nyie kabila lenu waume zenu wanajuta kuwaoa je huoni mmepotea sana. so penye ukweli tuseme ukweli ili tubadilike.
Mti wenye matunda ndio hutupiwa mawe.
ukiwala tigo wanatulia tu hiyo kwa ss wazaramo tunasema kata kiburi but if you want, try for your own risky
Jaribu kuleta hoja kiongozi. Kama watu wanaona tatizo sehemu ni lazima waseme. Sidhani wachafga ndo mti wenye matunda, binafsi siwasemi coz sijwahi ona tofauti yoyote, mine is so sweet. Lakini kama mnasemwa jaribuni kujichunguza..
Mi nahisi wenye matatizo ni waoaji.
Jaribu kuleta hoja kiongozi. Kama watu wanaona tatizo sehemu ni lazima waseme. Sidhani wachafga ndo mti wenye matunda, binafsi siwasemi coz sijwahi ona tofauti yoyote, mine is so sweet. Lakini kama mnasemwa jaribuni kujichunguza..
Wengi wenu mnasumbuliwa na 'obsession' ya pesa...hilo ndio tatizo!!!
Sioni kama ni tatizo mana mda wote ntakua nawaza jinsi ya kuipata.
Hivi mahari kwa mbebizi wa Kichaga bei gani?. Nataka nimuibukie mmoja hivi, Toyota Stout tayari nishanunua!....
Nirudiahie dada angu kama humpi mahela bhana....
Hahaha imekula kwako.
Acha ubahili bw shemeji. tuma mahela kabla sijamuambia sisteri akuelekeze kibla.
Ndio maana hamridhiki.
Siku hizi wanaume ni wachache sana,wengi wetu vivulana tu.kulalama tu hovyo..