Wanawake wa kichaga mkoje?

Wanawake wa kichaga mkoje?

Nyie waoneni tu weupe sijuhi wanakuchekea na wanapenda sana kuonekana wana dini sana lakini usidhubutu kuomba kuoa,wanatamani pale ndani yeye ndo awe kiranja na kama ikishindikana atataka mpaka aiharibu future yako kwahiyo kuweni makini na hawa watu ama sivyo msije jutia ndoa zenu maisha yote ..hawajuhi neno nisamehe hilo kwao halipo,anakosa na bado wanaanzisha fujo any time kwakweli they are so different
 
sio wote wanaopenda pesa jamani
wapo sana wenye mapenzi ya kweli
hao wachunaji sijui mnawatoaga wapi kila siku!!

Nyie waoneni tu weupe sijuhi wanakuchekea na wanapenda sana kuonekana wana dini sana lakini usidhubutu kuomba kuoa,wanatamani pale ndani yeye ndo awe kiranja na kama ikishindikana atataka mpaka aiharibu future yako kwahiyo kuweni makini na hawa watu ama sivyo msije jutia ndoa zenu maisha yote ..hawajuhi neno nisamehe hilo kwao halipo,anakosa na bado wanaanzisha fujo any time kwakweli they are so different

Narudia tena kwa mwanamme wa ukweli anayejitambua hizi kadhia hawezi kukutana navyo mpk ke anashindwa kukuomba msamaha.Pia kama kosa ni la kwako kwa nini yeye ndio aombe msamaha.mpaka uvurugiwe future hujitambua no halali yako.maisha no makubaliano sio ubabe
 
wapo ila wachache sana. Nina mchumba angu mchaga kwa malalamiko ambayo wenzangu wanayatoa kuelekea wake zao wachaga najihisi nina bahati, ni mnyenyekevu kwa kweli, nasikia raha hata kutaja jina lake anaitwa Grace

Mungu akuwekee ....
 
Halafu sasa ni kila kukicha mwanamke wa kichaga anaolewa....Hawana lolote hawa wanawapenda sema tuu basi...
Hawa wanayelalama ni wamekataliwa ukiona hivyo.

Sasa mnalalama nini na kila siku tunasikia ndoa zinatangazwa,wacheni kuoa hao viumbee kwani mnalazimishwa??
 
Hawataki wanaume mafala ---- ndio maana ....Tatizo wanaume wa leo wengi hawajielewi....Ushaenda uchagani wewe ukaona Mandhari, nyumba na maisha yakule yalivyo? Hatutaki makyasaka

Nope, kabila zote zinaolewa na kuoa...lakini hawa jamaa wajichunguze. Haiwezekani kila mtu anawasema kila siku, kuna tatizo...kama ni pesa wao sio wa kwanza kuzisaka, kila mtu anategemea pesa kuishi. Kwa nini iwe wao tu kusemea na pesa?
 
We ukitaka atulie mpe hela tu. We mpe hela tu, kweli nakwambia we mpe hela tu, atatulia tuliiiii. Hahahahaha
 
Mapenzi we
 
Attachments

  • 1415971807136.jpg
    1415971807136.jpg
    47.8 KB · Views: 161
Hawataki wanaume mafala ---- ndio maana ....Tatizo wanaume wa leo wengi hawajielewi....Ushaenda uchagani wewe ukaona Mandhari, nyumba na maisha yakule yalivyo? Hatutaki makyasaka

Na hayo unayoyataja ndo yanaharibu ndoa kama hujuhi,mambo ya eti kwenu sijuhi mna ghorofa,meli sijuhi majumba ya kifahari havina uhusiano na unakokwenda kuolewa,ulikubali kwa hiari yako akuoe sasa siyo baadae unaanza kumletea dharau eti kisa kwenu pazuri ama ni matajiri kwani nani kakwambia yeye siku moja hawezi kuwa fulani ama wangapi walikuwa nazo lakini leo majarala? ukianza hivyo basi ujue unaenda kuiharibu ndoa yako mwenyewe kwa ujinga wako
 
Hawataki wanaume mafala ---- ndio maana ....Tatizo wanaume wa leo wengi hawajielewi....Ushaenda uchagani wewe ukaona Mandhari, nyumba na maisha yakule yalivyo? Hatutaki makyasaka
Huwa sipendi mnavyojipaisha hivyo nyie mashemeji...!
..kuna maisha gani hasa tofauti na sehemu zingine, hem nenda kawadanganye wengine.
..umasikini upo kama zilivyo sehemu zingine tanzania, maisha ni yale yale dadangu, msijipaishe kupita kawaida..!

Mna obsession ya pesa na inafunikwa na tamaa..! na sidhani hilo ni la kusifiwa..!
 
Na hayo unayoyataja ndo yanaharibu ndoa kama hujuhi,mambo ya eti kwenu sijuhi mna ghorofa,meli sijuhi majumba ya kifahari havina uhusiano na unakokwenda kuolewa,ulikubali kwa hiari yako akuoe sasa siyo baadae unaanza kumletea dharau eti kisa kwenu pazuri ama ni matajiri kwani nani kakwambia yeye siku moja hawezi kuwa fulani ama wangapi walikuwa nazo lakini leo majarala? ukianza hivyo basi ujue unaenda kuiharibu ndoa yako mwenyewe kwa ujinga wako
Asikudanganye huyo, ni maisha ya kawaida sana...siku hizi kila kabila watu wanaenda shule, sio wao pekee, sehemu nyingi zimejengwa na wala sio uchaggani tu...!
 
Wenzetu mlizaliwa benki au kwenye taasisi ya fedha,unakuta anakuambia pesa kwake ndio kila kitu,unajiuliza amezaliwaje,analipia wapi pumzi yake,umemuoa anapenda malumbano,kitu kidogo anagombana hatari.

Unafanya anavyotaka lakini siku ukishindwa kidogo, yale yote yaliyopita yamefutika pia, kama game zisizo na save option.

Unajuta kuoa, maana kuacha unawaza mwanao ataishije, wewe uliishi bila baba au mama unapenda mwanao afurahie kila uwepo wenu,hutaki apate shida,lakini kwa hili unajikuta unatamani kushindwa kuliko kushinda.

nILISHAWAHI SEMA HAPA WALIOKO KWA NDOA HALISI NI WACHACHE COZ OF OUR CHILD
 
Chukua hatua mkuu,hai watu balaa,utaitwa marehemu muda Si mrefu na kuacha kibanda kikiwa Mali take..
 
Halafu sasa ni kila kukicha mwanamke wa kichaga anaolewa....Hawana lolote hawa wanawapenda sema tuu basi...
Hawa wanayelalama ni wamekataliwa ukiona hivyo.

na wewe ni binti wa kichagga???

your signature should be 'There are two kind of perfect people; Those who are dead and Those who are not yet born'
 
:evil::evil::evil:
:evil::evil:
:evil:

:yell:
:yell:
:yell:

:baby::baby::baby:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom