Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,875
Wenzetu mlizaliwa benki au kwenye taasisi ya fedha,unakuta anakuambia pesa kwake ndio kila kitu,unajiuliza amezaliwaje,analipia wapi pumzi yake,,...umemuoa anapenda malumbano,kitu kidogo anagombana hatari,yerewiiiii!!!
Unafanya anavyotaka lakini siku ukishindwa kidogo,yale yote yaliyopita yamefutika pia,kama game zisizo na save option...
Unajuta kuoa,maana kuacha unawaza mwanao ataishije,wewe uliishi bila baba au mama unapenda mwanao afurahie kila uwepo wenu,hutaki apate shida,lakin kwa hili unajikuta unatamani kushindwa kuliko kushinda
Tafuta hela wewe..........