Wanawake wa kichaga mkoje?

Wanawake wa kichaga mkoje?

Nimewahi kudate na binti mmoja wa kichaga ni complicator huyo achenii, facts ndogo tu kuelewa ni ishu, tukaachana for good tu. Naunga mkono kabisa hawa wachaga baadhi yao hawako sawa, badirikeni !
 
Jamani Mchaga wangu mbona ni safi sana tuu! Siwaelewi nyie kinachowasibu. Hebu muulize mamamkwe vizuri alafu unasema mweusi. Unajua wanubi wakisii ni wengi sana zamani kule uchagani walikuwa wanakata mbao. Ndio walimaliza miti ya mbao mlima ule! Kaka huyo ni mnubi!

Mimi na rafiki zangu tumeoa uchagani na wote tunaraha zetu. Wanajituna wanatunza watoto wanajua maarifa ya maisha na pia wanatutunza kisasa! Sio mimi tuu hata mama mkwe wake anafarijika. Mama alinikataza sana lakini sasa huyu mchaga wangu ndiye anamlea kuliko wengine na amejifunza anapenda nini na hapo humgusa sana na mimi hunigusa sana tuu.

Jamani wale wenye uzoefu wangu hebu ongeeni maana hapa huu uzi unanishangaza sana!! Au kuna ajenda nyingine!

Ndoa yenu ina muda gani/miaka mingapi?
 
Wachagga wachafu
Tamaa mbele (kupenda pesa)
Waana sifa mbaya ktk ndoa wanamambo ya ovyo saana
Ubabe usio na msingi na vngnevyo visvy ata na msing ktk jamii
Time to change chagga's
 
hahaha pole mkuu kwa yaliyokufika but kumbuka kila mtu dunia hii anapenda pesaaa hata ungeoa mzungu sijui mchina vitu kama hivi ungekutana navyo tuuu
msiwalaumu wao tuuu hata makabila mengine wapo wanaolenda pesa kuliko hata wachaga

Bora mtu apende pesa na pia awe na utu na akupende
 
Acha kutokwa na povu chakubanga mkubwa ww nan akupe mke kule lile kabila tunalijua sisi coz wale ni rafki zetu kojoa ulale

Unataka nikukojolee ndio nilale?...nani kakuambia anawataka hao wenzako? Nimeishi nao nawajua...ukiondoa masela wa klm hao wanawake watakukamata nyota wewe tu kuz
 
Ndorobo wewe ulikuwa ujui wachaga wanapenda sana pesa! Tafuta mtu mbadirishane...
 
Wenzetu mlizaliwa benki au kwenye taasisi ya fedha,unakuta anakuambia pesa kwake ndio kila kitu,unajiuliza amezaliwaje,analipia wapi pumzi yake,umemuoa anapenda malumbano,kitu kidogo anagombana hatari.

Unafanya anavyotaka lakini siku ukishindwa kidogo, yale yote yaliyopita yamefutika pia, kama game zisizo na save option.

Unajuta kuoa, maana kuacha unawaza mwanao ataishije, wewe uliishi bila baba au mama unapenda mwanao afurahie kila uwepo wenu,hutaki apate shida,lakini kwa hili unajikuta unatamani kushindwa kuliko kushinda.
pole kuongozi naona yamekukuta
 
Tuna kazi wachaga.
Post ya wachaga ikipita inaanza ingine!!!
Zikiunganishwa itakuwa post ndefu kuliko zote!
Cha kujiuliza nyie wavulana ni ushujaa kutemnea na msichana na kujisifia umemuacha?? Mimi naona ni tabia ya sekondari.

Ni jambo la busara kumuanila mkeo au mumeo madhaifu yake kwa watu? Huo ni ushamba uliopitiliza au dalili ya depression na kukata tamaa.

Kwa hio ni kweli kuwa mwanamoe wa kichaga anahiyaji mwanaume wa ukweli sio feki mradi kavaa suruale.

Kajipangeni. Hii kulialia ni dalili tosha kuwa you are weak!!!
Ila poleni jamani.
Hongereni wanaume wa ukweli mnaoweza kuishi na wanawake wa ukweli. Wachaga.
Hakuna unafiki. Unataka udanganywe kuwa ww ni mfalme wakati ni boi? Sio nora uambiwe ukweli ujipange?
Tunasimamia tunachoamini. Tunaelekea mafanikio. Ukweli unatuweka huru.
 
Ukipata mchanganyiko wa mmachame na mmeru utalia kilio na lusaga meno full money manic
 
We mwejyew tu mkorofi kama ulioa na hutak kuhudumia mke ulimuoa wa nin? Ungeenda kwa hao makabila mengine yanayojua kuvumilia shida. Ukioa mchaga uwe na akili ya kutafuta pesa.
 
Wachagga akili zao ni kutafuta pesa maisha yaende poah, tatzo ubovu wa watz ni uvivu na kuwaza mapenz tu vichwan mwao kila saa, sasa nan anaweza kuvumilia mvivuna muwaza ushenz tu. Tafuten watanga jmn, kwan mnalazimishwa kudate wachagga! maana mara mchagga kafanya hv mara hiv si muwaache tu tafuten hao wanawake wasafi na wenye roho nzuri, kaz kuanika wanawake zenu tu. jinsi gan msivyofundwa kwenu, nyie pia hamfai kuwa w'ume za watu..!! psiiiiii
 
Jua mna matatizo na kasoro sana ndio mana mnatajwa. Maana ktk thread kumi utakuta tisa ni znazoanika dosari au matatizo yenu.
#sio mnajifariji eti mnatajwa kila mara, mnatajwa mbadilike kunguni nyie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom