Wanawake wa karne ya 21 Mungu anawaona

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
12,276
2,000
Jamani mmi nikisema napumzika sasa siandiki thread mpaka tar 1 July lakini visa duniani haviishagi kabisa.

Leo nimeletewa Ubuyu na mkaka m1 anasema niwaambie akina dada kuwa

Wanawake wa karne ya 21 wanatambulika kuwa WASAFI SANA

Kuna jamaa alimpata beibe Facebook then wa kaenda chat room then wakapenana namba za simu then wa kaenda whatsapp for more, then wakaenda kuonana live kuendeleza penzi waliloanzisha social media.

Wakakutana kwa hotel, waka do vizuri tu wakalala, Asubuhi demu kuamka hajamkuta jamaa akajua labda yupo katika kukaa na kujikagua akakuta nywele zake za chini hazipo!

Kumcheki jamaa hayupoo, Jamaa alipohojiwa akasema mimi nilikutana na msitu nikashangaa, kuona mwanamke mrembo kama yule anakosaje kujiweka safi mpaka anakuwa na msitu namna ile!? Kwaiyo akaamua kumnyoa.

Ndio sikumwambia, na wala sikufanya kwa sababu za kichawi au ushirikina hapana nilitaka kumfundisha somo kuwa wanawake wa karne ya 21 huwa ni wasafi!

Jamani ndugu zangu huku mitandio ni, mnaochukua wanaume mitandaoni na unajijua we ni msichana wa 4G, mazingira basi weka safi, msituaibishe ooo!

Ni hayo tu kwa leo, ngoja niende kwa youtube ni kaangalie viewers wanasemaje mie.

 

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Mar 25, 2016
9,318
2,000
Huyo kazidi hana hata aibu mwanamke unapoenda kukutana na njemba inatakiwa ujikague na ujiweke safi hata kesho njemba atakuwa na hamu tena ya kuonana na wewe.
 

The Common

Member
Jun 13, 2017
34
125
Msitu na kunjunjana vinahusiana nn...kwan alifuata usafi au kuchikuchi?....bila shaka atakuwa mwanaume wa dar huyoo..
Sisi kina muraa hatuangariagi ukali wa nyuki....cha msing wingi wa asari muraa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom