wanawake wa kabila gani wanaongoza kwa usafii?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanawake wa kabila gani wanaongoza kwa usafii??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by stevoh, Oct 10, 2012.

 1. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  nimepita leo asubuhi huku jukwaani nikakuta mtu kauliza swali la wanawake wa kabila gani wachafu sasa mimi nawajua wanawake wa kabila la ki''colour'' nahisi wao ndio wanaoongozaa. Wewe unadhani nani waanaongoza na wanaoshika mkia??
   
 2. Lateni

  Lateni JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 685
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Kwenye ule uzi wa uchafu watu waligopa sana kujilipua, waliishia kuguna tu, sasa huu uzi wa usafi naona watajibu,

  For me ,Wazanzibari wako juu kwa usafi

   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Namie nipitishie langu hapahapa, ni wanawake wa kabila gani wanaoshika mimba haraka?
   
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  hapa kuna utata, kuna kabila la wa-colour na warangi. sasa we unawazungumzia wepi?
   
 5. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Kiujumla, wanawake waliozaliwa na kulelewa maeneo ya mwambao, wanailewa vizuri sana dhana ya usafi. Napita, mimi si wa huku.

   
 6. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Kila kabila wako 50% 50%. Huwezi kuta eti wanawake wote wa kabila fulan eti ni wasafi wote.
   
 7. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Duuuh kisa tu wapo wamezungukwa na bahari
   
 8. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nazungumzia warangi
   
 9. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mimi nakumbuka nilijifunza kuwa USAFI NI TABIA...... haina relationship na kabila.
  ila mimi naweza kusema kuwa inategemea na malezi, kuna watu ambao mama zao ni manesi (najifagilia), huwa wanakuwa wasafi sana. pia nasikia walimu wanapenda sana usafi na kupanga nyumba vizuri
   
 10. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mara nyingi watu wa pwani ni wasafi sana lakini kwenye nyanja ya vibibi vyao na si vinginevyo,wamangumi wao ni wazuri kwenye kusugua sufuria.
   
 11. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  warangi bwana,kama umewahi kuishi nao,kila saa wanasugua miguu,alafu malapa yao masafiii,yanameremeta kila saa,wanapenda kuoga haoo,...ila usafi wao mkubwa upo kwenye malapa na kubrashia waume zao viatu,,,huko kwingine sijui
   
 12. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,898
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Ole aje mtu aniambie wanawake zetu ni wachafu,nitamjia na Gobole la urithi aloniachia babu.Kikwetu mwanamke mchapakazi ndio mrembo na sio mwanamke anashinda mchana kutwa anaoga,Jembe,Maji, kukusanya kuni atavifanya saa ngapi..??
   
 13. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Wanawake wa KINDALI bwana,ni wasafi hao asikwambie mtu!
   
 14. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  warangi wanatisha kwa usafi.hata mvua ikinyesha lapa la umoja halichafuki na tope
   
 15. J

  John W. Mlacha Verified User

  #15
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  demu wangu ni msafi sana so mengine na mambo ya kikabila mtajuwa wenyewe huko
   
 16. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mi nahisi wahindi ndio wasafi zaidi
   
 17. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  unataka nianzishe siredi nyingine ya kuuliza kabila gani linaongoza kwa kua na waalimu na manesi??
   
 18. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hapo ndipo nillipokua nataka kupazungumzia
   
 19. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwani tumeuliza demu wa nani msafi?? Wewe upo OP
   
 20. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Asili yao wap??
   
Loading...