wanawake wa kabila gani wanaongoza kwa usafii??

nimepita leo asubuhi huku jukwaani nikakuta mtu kauliza swali la wanawake wa kabila gani wachafu sasa mimi nawajua wanawake wa kabila la ki''colour'' nahisi wao ndio wanaoongozaa. Wewe unadhani nani waanaongoza na wanaoshika mkia??

Uchafu au usafi wa ndani au ne?
 
waranga na mimi naunga mkono, anatembea kilometa tano amevaa malapa na miguu haichafuki! Ni wasafi wa miili sijui kwengine.
 
Kwenye ule uzi wa uchafu watu waligopa sana kujilipua, waliishia kuguna tu, sasa huu uzi wa usafi naona watajibu,

For me ,Wazanzibari wako juu kwa usafi



wazanzibari hawa hawa ninaowajua mie?
hawa hawa nilosoma nao?
hawa hawa ninaoishinao?
kiruuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

na ndugu zao wapemba? yarabiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

anyway usafi au uchafu ni tabia ya mtu haihusiani na kabila..
 
Back
Top Bottom