snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,714
- 23,672
af hii humu mbona sio field yake humu siye twacheka na kujiachia kwa vicheko haya ya kunza kubezana ndo nini!ATUPISHENdio hapo.
Sioni umuhimu wa kuchangia mada yenye kashfa hvi.
Muweke Mada za kueleweka.
Japo me ni mtu wa Tanga.