Kama wewe sio Muha wa Kigoma, basi usithubutu kuoa mwanamke Muha

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
366
1,377
Kama mada inavyojieleza

Kama wewe sio Muha wa Kigoma basi usithubutu kuoa mwanamke Muha.

Waha wanawezana wenyewe kwa wenyewe kutokana na tabia zao ambazo kwa mwanaume kutoka kabila lingine ambaye amelelewa mazingira ya kistaarabu zitamshinda.

Wanawake wa kiha ni wabishi sana

Wajuaji sana

Wachafu mno hasa mazingira ya nyumba utahisi unaishi na kichaa jinsi wanavyoweka mazingira ya nyumba katika hali ya uchafu.

Wanaongea mno ukimpa chance ya kuongea umekwisha .

Wanaendekeza imani za kishirikina

Wana roho katili/mbaya(hii wamerithi kwenye asili yao Burundi)

Kuna sifa kwamba wanawake wa kiha wanavumilia kwenye ndoa, uvumilivu huo ni kwa waha wenzao kwa sababu wanajuana tabia zao za ovyo.

Usithubutu kuoa Kigoma.
 
Mimi sio Muha lakini Marafiki zangu Mmoja Mhehe na Mwingine Msukuma wameoa kwa waha na wanaishi maisha mazuri sana.

Hapo Moro kuna jamaa yangu pia Mchaga alioa muha na wanaishi vizuri.

Labda wewe ndio una tabia mbaya hamuendani.
 
Kama mada inavyojieleza

Kama wewe sio Muha wa Kigoma basi usithubutu kuoa mwanamke Muha.

Waha wanawezana wenyewe kwa wenyewe kutokana na tabia zao ambazo kwa mwanaume kutoka kabila lingine ambaye amelelewa mazingira ya kistaarabu zitamshinda.

Wanawake wa kiha ni wabishi sana

Wajuaji sana

Wachafu mno hasa mazingira ya nyumba utahisi unaishi na kichaa jinsi wanavyoweka mazingira ya nyumba katika hali ya uchafu.

Wanaongea mno ukimpa chance ya kuongea umekwisha .

Wanaendekeza imani za kishirikina

Wana roho katili/mbaya(hii wamerithi kwenye asili yao Burundi)

Kuna sifa kwamba wanawake wa kiha wanavumilia kwenye ndoa, uvumilivu huo ni kwa waha wenzao kwa sababu wanajuana tabia zao za ovyo.

Usithubutu kuoa Kigoma.
Tafuta Hela mkuu hakuna Nyumba Chafu.
 
1. Mnatuzuia wachaga
2. Wahaya mnadai wana kazi nyingi
3. Wanyaturu huruma
4. Wambulu/huruma
5. Warangi huruma
6. Makonde huruma
7. Wapare huruma
8. Tanga nzima huruma

Leo nao waha, mazee sasa wanawake tuoe wa wapi?
 
Waha (warundi wanaoishi Tanzania) tabia zao wanawezana wao kwa wao ndio maana hata kama anaishi zenji chamba wima au dole huko atarudi akaoe kwao, alafu hao ni watu wengine wanaijua hela mchaga ana afadhali, wanaweza kufanya lolote kwa ajili ya pesa, kauli mbiu yao kwenye pesa ni "kwenye pesa hakuna undugu Wala ujamaa", usijichanganye kwa hao watu kama huna moyo mkubwa
 
Back
Top Bottom