Wanawake wa kabila gani wanaongoza kwa uchafu?

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Ukitaka kuoa, njoo uoe Tanga, wanawake wasafiiiiiiiiiiii.
Ukikuta mchafu huyo wakuja
 
Mi naogopa kusema maana nitakuwa nimetukana kabila la watu..kwa kweli kuna hili kabila ni wachafu kweli,ni wam____i.
 
Unataka kabila zima au mwanamke fulani specific?
Ukilipata kabila hilo then what wll be the next.
 
Una hakika kuwa hujengi mazingira ya kudharau kabila mojawapo hapa nchini Nazjaz? PLEASE THINK TWICE uone kama wakiamua kuanza kudharauliana humu utafaidi nini???

Uchafu ni tabia, watajirekebishaje wasipo kosolewa?
 
Last edited by a moderator:
kuna kabila eti linawalaza watoto wao na ndama, jamani tubadilike
 
TABIA SI KILEMA kusema kuwa ukinyoosha utavunja! Jaribu kufikiria wakati unakuwa hata labda ulikuwa kikojozi leo umeacha.
 
Jamani acheni mzaha na makabila ya watu. uchafu wa Wamasai uko wapi?
Kudumisha mila ndiyo uchafu?
Wamasai sisi si wachafu, ndo hvhv tulivyo asilia.

Kwahiyo asili yenu ni uchafu ? Now I get it...
 
Una hakika kuwa hujengi mazingira ya kudharau kabila mojawapo hapa nchini Nazjaz? PLEASE THINK TWICE uone kama wakiamua kuanza kudharauliana humu utafaidi nini???

Ndio hapo.

Sioni umuhimu wa kuchangia mada yenye kashfa hvi.
Muweke Mada za kueleweka.
Japo me ni mtu wa Tanga.
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada ana point nzuri sana na sijaona kashfa yoyote katika swali lake na kwenye hili lazima tuwe wakweli kuwa kuna makabila uchafu ni asili yao au inawezekana mazingira yao yanawafanya wawe hivyo,mfano mdogo tu mimi sijawahi kukutana na mwanamke wa kisomali msafi,na mbaya zaidi kuna wakati nikiwa Tabora nilimkaribisha binti mmoja wa Kisomali nyumbani kwangu ,asubuhi nataka kwenda kuoga namkuta anatoka msalani kashikilia sufuria nililokuwa natumia kupikia chai....Huyo ni mmoja tu na nimekutana nao wengi tu wenye tabia mbayambaya zisizoelezeka...
 
Toka zako,
si U prost wako uliokufanya uopoe Msomali wakati Wabongo wenzio tupo.
 
Back
Top Bottom