Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 69
Tanzania tuna makabila mengi na kila kabila lina mafunzo na tabia yake zake katika swala zima la mapenzi.Je ni wanawake wa kabila gani ni mafundi hodari wawapo ktk uwanja wa seremala?.
Tanzania tuna makabila mengi na kila kabila lina mafunzo na tabia yake zake katika swala zima la mapenzi.Je ni wanawake wa kabila gani ni mafundi hodari wawapo ktk uwanja wa seremala?.
Wanaongalia sana porn movies
Hilo nalo kabila? Lol
Siku izi ishu za ukabils zilishakwisha, wasngalia porn ndio wanajua stail zote na positions zote!
jus kidding... I mean siku hizi mapenzi hayaangalii kabila bwana.. Mtu tu na ujuzi wako na ujanja wako
Ujanja na ujuzi wako..vinapatikanaje bwana coz hkn chuo wala darasa