Wanawake wa JF. . .who is hot, who is not.

Dena Amsi mbona juzi tumewataja wakaka? Hamna cha umejuaje wala nini. . . we kama unajua/hisi/fahamu tudokeze na sie tukiguswa tufanye upelelezi wa kujitegemea.

Sikuwepo bana mkiwataja ...........................
haya sijui terms and conditions mwenzio nisijechemka mbaya
 
Mmmh, kizungu umekijulia wapi jmushi1? Wee si umehamia kibololoni juzi tu tokea Rombo?
Na mtaji umepewa na Meku? Siamini hili neno kama lipo.

Mambo lakini!

Ha ha ha!Hii kali!Vuguvugu kwa kiinglish ni "lukewarm"
 
Last edited by a moderator:
Mmmh, kizungu umekijulia wapi jmushi1? Wee si umehamia kibololoni juzi tu tokea Rombo?
Na mtaji umepewa na Meku? Siamini hili neno kama lipo.

Mambo lakini!

Ha ha ha! Kongosho...Stereotype of a Chaggaman missunderstood, but its all good, and if you dont know now you know lol!

Nipo, nilikuwa busy with ma finals, i am off the chain now.

Hilo neno lipo btw.

Ebu niambie meku mwenye kutoa mtaji basi niende.
 
Ha ha ha! Kongosho...Stereotype of a Chaggaman missunderstood, but its all good, and if dont know now you know lol!

Nipo, nilikuwa busy with ma finals, i am off the chain now.

Hilo neno lipo btw.

Ebu niambie meku mwenye kutoa mtaji basi niende.

Meku naona leo umeamkia maeneo. Mbn mapema ndugu yangu?
 
Last edited by a moderator:
Hongera kwa kumaliza finals zako.

Lazima ukaanzie rombo kwanza ndio uje mjini, pale kuna saccoss, ntakupa namba ya :eek2:mrema:eek2: atasimamia.

Then, who is hot, lukewarm(ila hili neno linarandana na sardines), or cold?

Back
Top Bottom