Wanawake wa Jf, Mnanjaa sana.

Wanawake wa Jf, Mnanjaa sana.

Wakuu habari zenu,
Wahenga wanasema samaki mmoja akioza basi jua wote wameoza. Wanawake wa jf mnazidi kututhibitishia mna njaaa sana, Kitendo cha Dada kutoka Mwanza mpaka Dsm kwa ajili ya 7800 hii njaa hapana, madem wa Jf ni wepes sana huko PMs zao hili linathibitisha maisha yenu ni Magumu. Badilikeni jaman hili hali yatisha sasa.

NAWASILISHA TU,
Kwanza hiyo 7800 ni nini pili una adabu wewe mtoto? Wataongeza wengine.
 
Baharia unaongez kdg bhna mbn uyu wa apa kigambon anakuj tegeta apa namp teni asee
 
Najikuta na feel pain ya huyo binti. Daah. Huo ni zaidi ya unyama bora hata umpe nauli ya kurudi kwao. Yani ukishatimiza haja zako ndo unamuona kama takataka daah. Is not fair kabisa KABISA. Ni zaidi ya unyama.
Unyama kabisa wala si ujanja
 
Wakuu habari zenu,
Wahenga wanasema samaki mmoja akioza basi jua wote wameoza. Wanawake wa jf mnazidi kututhibitishia mna njaaa sana, Kitendo cha Dada kutoka Mwanza mpaka Dsm kwa ajili ya 7800 hii njaa hapana, madem wa Jf ni wepes sana huko PMs zao hili linathibitisha maisha yenu ni Magumu. Badilikeni jaman hili hali yatisha sasa.

NAWASILISHA TU,
Dah.... Mwana umekosa koromeo
 
Hujambo? Humu JF watu wanaona ndo mahala pa kumalizia Stress zao mpaka wanawatukana mama, shangazi, bibi na dada zao.
Mi sijambo kabisa...yani jf. imekuwa na mambo mengi kweli.
 
Back
Top Bottom