Wanawake wa Jf, Mnanjaa sana.

Wanawake wa Jf, Mnanjaa sana.

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,510
Wakuu habari zenu,
Wahenga wanasema samaki mmoja akioza basi jua wote wameoza. Wanawake wa jf mnazidi kututhibitishia mna njaaa sana, Kitendo cha Dada kutoka Mwanza mpaka Dsm kwa ajili ya 7800 hii njaa hapana, madem wa Jf ni wepes sana huko PMs zao hili linathibitisha maisha yenu ni Magumu. Badilikeni jaman hili hali yatisha sasa.

NAWASILISHA TU,
 
Wakuu habari zenu,
Wahenga wanasema samaki mmoja akioza basi jua wote wameoza. Wanawake wa jf mnazidi kututhibitishia mna njaaa sana, Kitendo cha Dada kutoka Tanga mpaka Dsm kwa ajili ya 7800 hii njaa hapana, madem wa Jf ni wepes sana huko PMs zao hili linathibitisha maisha yenu ni Magumu. Badilikeni jaman hili hali yatisha sasa.

NAWASILISHA TU,
Pole mkuu.
Wamekupiga?
 
Kwa kuwa mimi natokea Tanga
Nipo tayari kusema si kweli...

Haya madai yako si ya kweli na tafadhali wa Tanga wanajimudu kwa kila kitu
Wakuu habari zenu,
Wahenga wanasema samaki mmoja akioza basi jua wote wameoza. Wanawake wa jf mnazidi kututhibitishia mna njaaa sana, Kitendo cha Dada kutoka Tanga mpaka Dsm kwa ajili ya 7800 hii njaa hapana, madem wa Jf ni wepes sana huko PMs zao hili linathibitisha maisha yenu ni Magumu. Badilikeni jaman hili hali yatisha sasa.

NAWASILISHA TU,
 
Wakuu habari zenu,
Wahenga wanasema samaki mmoja akioza basi jua wote wameoza. Wanawake wa jf mnazidi kututhibitishia mna njaaa sana, Kitendo cha Dada kutoka Tanga mpaka Dsm kwa ajili ya 7800 hii njaa hapana, madem wa Jf ni wepes sana huko PMs zao hili linathibitisha maisha yenu ni Magumu. Badilikeni jaman hili hali yatisha sasa.

NAWASILISHA TU,
Subiri utukanwe mdada atakuwa radhi apigwe ban ilimradi akuangushie kitu. Madam B mwenyewe balaa la kufa mtu akisoma huu uzi wako sijui kama utapona atakuanzia PM ndio akujie hapa, itabidi nipite bila kusoma maana nikirudi nyumbani naweza nikamzibua 😂
 
Nani huyo katokea Tanga tena?mbona yule wa 7800 alitokea mwanza
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Alitoka mwanza sio tanga, au nani katoka tanga
 
Subiri utukanwe mdada atakuwa radhi apigwe ban ilimradi akuangushie kitu. Madam B mwenyewe balaa la kufa mtu akisoma huu uzi wako sijui kama utapona atakuanzia PM ndio akujie hapa, itabidi nipite bila kusoma maana nikirudi nyumbani naweza nikamzibua [emoji23]

Sikujui unitukane hata siumii[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom