Wanawake wa bongo ndio wanaokijua hiki.....

Wanawake wa bongo ndio wanaokijua hiki.....

Yaani huyo wa kwanza kushoto kajikoboa mpaka anatisha. Rangi za uso na mikono tofauti kama ni Pepsi na Mirinda

umeiona mikono yake?
Anyways, wafanyeje na wanaume wetu wa kibongo wakituona sie weusi wanatuona hatuna dili? Natafuta maji ya betri na mie nianze sasa, new year resolution.
 
Hapo sasa wanaponda tu ukiwakuta chobisi ndo magoma yao hao wapeni nafac wajinafac
tena utakuta mtu anakandia hapa ila akitoka street anaambaaa nae kama goma lake.
upuuzi tu! hakuna lolote!
 
Hahahahahah maji ya betri! Ongeza na jik shosti
umeiona mikono yake?
Anyways, wafanyeje na wanaume wetu wa kibongo wakituona sie weusi wanatuona hatuna dili? Natafuta maji ya betri na mie nianze sasa, new year resolution.
 
umeiona mikono yake?
Anyways, wafanyeje na wanaume wetu wa kibongo wakituona sie weusi wanatuona hatuna dili? Natafuta maji ya betri na mie nianze sasa, new year resolution.

Hahahahhh.
Kaaazi kweli kweli. Mbona mie King'asti wangu ni mweusi kama makaa na nimeridhika kwa kadri nilivyomkuta? Sijajua nani anawadanganya kwamba ukiwa mweusi si membo!
 
Hapo sasa wanaponda tu ukiwakuta chobisi ndo magoma yao hao wapeni nafac wajinafac

tena mtu anafanya kuwanyooshea vidole kabisa niitie huyu hapo.
wengine wanadai wanapenda wanawake weupe na siku hizi hawa wanaume na wenyewe wameanza kupaka hayo ma cream nakwambia mbona wao hatuwasemi?
 
"Ee mungu naomba unipendelee umri wa kuishi ili nione vizazi kumi vijavyo" AMEN Kama cha sasa ndio hiki na mmonyoko huu ni wazi kama mungu akinionyesha vizazi 10 nitakata rufaa ya kuomba kifo.
 
dah nahisi kama kuna utundu umefanyika kuwapaka karolite na photoshop
 
umeiona mikono yake?
Anyways, wafanyeje na wanaume wetu wa kibongo wakituona sie weusi wanatuona hatuna dili? Natafuta maji ya betri na mie nianze sasa, new year resolution.

napenda mtu awe dark natural au awe light skined natural. Haya mambo ya kwenye maungio ya joint kuwa tofauti na sehemu nyingine siyataki kabisa.
 
Pengine wateja wao ndio wanaowashinikiza wajikoboe hivyo
 
Huwa naumizaga sana kichwa endapo nikaja na ndoo nimsuuze iyo sura!!
Hayo maji yatakayo kuwa kwenye ndoo yatakua rangi gani??
Au ndo nami ntakua nimezindua rangi mpya??
 
Back
Top Bottom