Wanawake wa bongo ndio wanaokijua hiki.....

Wanawake wa bongo ndio wanaokijua hiki.....

Advise,,
Ladies take it easy,, that's your face
Not a colouring book
 
Wa kwanza kulia utadhan Ana undugu na sokwe au king kong vile
 
a.k.a uzuri wa dukani, kuna mdhungu alienda kumtambulisha demu wa kibongo kwao wakarudi tz, yule demu akaanza kujikoboa, yule mdhungu aliporudi kwa ndoa akakuta demu kawa white akamwambia nilipokutambulisha kwa wazazi wangu hukua hivi thus watasema nimeleta mwingine..................akambwaga
 
6.jpg


Huyo wa kulia ndiyo yule vuvuzela wetu hapa jamvini
 
Mmmmh kila mtu na life yake , inaelekea ww mbea sana na mambo ya watu ya kwako nani anachunguza? Hapa n mjini fata mambo yako ,
 
Back
Top Bottom