huyo wa kwanza kulia kama ndio kaja mjini juzijuzi vile hahahahah
huyo wa kulia anatoa macho kama mdoli afu na huo wanja wa pika ka muuza mbege...
muwaaache wenzenu wapumueee tena pumzi takatifu eboh!
Asanteee wawawache watoto wa watu kwan si wanakoboa sura zao wenyewe!
hiyo stail ya wanja inaitwa ''sina mume ''