Wanawake; "umalaya ni cheyo na ni haki yetu ya msingi...."

Kuzini azini mumeo halafu wewe ukamvae kimada wake! Haya unamvaa kimada halafu unarudi nyumbani kwa mumeo na mnaendelea na maisha. Hujatatua tatizo hapo. Siku ingine akizini na kimada mwingine naye utaenda kumvaa? Na akiendelea kuzini nje utawavaa wote anaozini nao? Logic zingine matata kweli kweli.
 
Wana JF leo asubuhi nimeshudia kisa kimoja, Jirani yangu mpangaji mwenzangu ambeye ni Nesi amevamiwa na mke wa mfanyabisha mmoja na kufanyiwa Vurugu kwa kuambiwa "toka we malaya nikushikishe adabu yako nishakwambia uache kutembea na wanaume wa watu tafuta wa kwako, malaya mkubwa wee.. k**a kama vuvusela" na huyo nesi bila woga alitoka ndani mwake amecharuka "adabu ukampe mmeo aliyenifata malaya, malaya.... Malaya ni cheo kwa mwanamke na ni haki ya msingi mwanamke kuwa malaya"

my take
binafsi nimeshtuka sana maneno ya huyu nesi maana nikiangalia bado Sijaoa; Magreat thinkers hii imekaaje?

NAOMBA KUWASILISHA.

manesi wanajua ku care wee acha tu.
 
uswailini si jambo geni hli,hata kama nipo rum stoki,tembelea mwananyamala au moscow
 
Juzi juzi niliona kama hiyo pale break point mtumishi wa kike wanachakachuana na mtumishi mwenzake wa kiume!mke wa mtumishi akaja kuangusha valangati saa 4 asubuhi pale jikoni!duu palikua hapatoshi mwanaume alikimbia akaacha kina dada wanapigana
 
Juzi juzi niliona kama hiyo pale break point mtumishi wa kike wanachakachuana na mtumishi mwenzake wa kiume!mke wa mtumishi akaja kuangusha valangati saa 4 asubuhi pale jikoni!duu palikua hapatoshi mwanaume alikimbia akaacha kina dada wanapigana

Wakati aliyemsaliti alikua mwanaume!
 
Back
Top Bottom