Wanawake ukubalini huu ukweli mchungu

Ukweli mchungu huu[emoji37][emoji37]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au ni domo zege pia inawezekana haoni type anayohitaji kitaa anawafahamu tabia zao vizuri na huwa hainogi sana ukijua background ya mwanamke hata kama atakuwa amebadilika, unajua katembea na fulani na fulani afu wote mpo hapo kitaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Do your research well.
Kama mwanamke ni wa shule sana unakuta anafika 30 ndio ana miaka miwili kazini. Na mwingine ana plans zake kabla ya kuingia kny ndoa.
Halafu wengine wana prefer partnership kuliko commitment kubwa ya ndoa.
maneno ya mungu pale eden hakuna sehem aliosema nendeni mkasome,

alisema nendeni mkazaane muujaze ulimwengu[emoji25][emoji25]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…