Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,269
Hapana sishauri hivyo bali nimemjibu comment yakoKwaiyo wewe unashauri watu wasiingie kwenye ndoa au?
hawachi nakupendaKwa hiyo unatushauri kila anaye kuja kauli iwe "Nimekubali"
Mwanamke ana angalia mwanaume huyu nikiolewa naye ataweza nihudumia basi.
Mtoa post kazungumzia wanaume mapadre. Kuna wanawake masista pia nao wanapunguza idadi ya wanawake wa kuoa
Asante
Mh vice versa is true..Anyway labda mpo ambao sio wachaguaji ambao mtakuwa wachache tena above 26 ila wengi ni wa hizo sifa ulizozielezea.Mwanamke ana angalia mwanaume huyu nikiolewa naye ataweza nihudumia basi.
Ila mwanaume ndio mbwembwe mara natafuta bikra mara asiye na mtoto, mara mnene, mwembamba, mrefu, mfupi, hajafika kwenye makabila hapo
Wapo humu wanaotaka kuoa mabikra sasa sijui changamsha genge au wanamaanisha.Mh vice versa is true..Anyway labda mpo ambao sio wachaguaji ambao mtakuwa wachache tena above 26 ila wengi ni wa hizo sifa ulizozielezea.
Ila sijawahi kuona mwanaume akililia kuoa bikra aisee labda watu wa mwambao labda napo sina uhakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa Changamsha genge tu si unajua humu siku hzi masikhara ni mengi kuliko uhalisia!!Wapo humu wanaotaka kuoa mabikra sasa sijui changamsha genge au wanamaanisha.
haya ila, one day utakubali usemi wangu...Itakuwa Changamsha genge tu si unajua humu siku hzi masikhara ni mengi kuliko uhalisia!!
Sent using Jamii Forums mobile app
bikra kwanza maana naona wimbi la kupoteza mabikra linazidi kuwa kubwa, cku hizi mabikra wamekuwa dragon, dinosaur, na magodzilla waliopotea miaka ile..Wapo humu wanaotaka kuoa mabikra sasa sijui changamsha genge au wanamaanisha.
Wanaume wengi wanao tafuta wanawake kati ya wanaume 10 mmoja tu ndiye huwa mwenye nia ya dhati na kweli ...Naona hata kuoa ni bahat. Wanaume wasingekua wanatafuta wake mpaka humu
Kwa mfano ukioa mwanamke bikra unapata faida gani? ?Vijana acheni vipaumbele visivyo na msingi
Sasa umkubali mtu hata kama humpendi. Kuliko kuolewa na kuachika baada ya miezi 6 bora kuto olewa tu
Hizi heshima ni according to analysis zako.. Uolewe usiolewe,uoe usioe hakuna atakaebaki kijana milele miili ya wote itachoka na kufifia. Hata hao walioolewa kuna ambao heshima zao hazipo kutokana na tabia zao. Ndoa haileti heshima kwa mtu isipokuwa matendo na mienendo yake katika jamii anayoishiUchakavu wa ki maumbile, mwili unaanza kufifia, pia heshima yako kama mwanamke haipo... Unaonekana muhuni tu! Kumbuka mwanamke anae heshimika ni MAMA au MWENYE BIKRA na MKE WA MTU
OVA
dunia haichukui tafti kwa kijiji kimoja, bali kwa dunia nzima..hizi tafiti umezifanyia wapi mbona huku kijijini kwetu wanaume ni wengi kulioko wanawake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni maneno ya kujifariji, ndo maana mtoa post akasema huu ni ukweli mchungu.Hizi heshima ni according to analysis zako.. Uolewe usiolewe,uoe usioe hakuna atakaebaki kijana milele miili ya wote itachoka na kufifia. Hata hao walioolewa kuna ambao heshima zao hazipo kutokana na tabia zao. Ndoa haileti heshima kwa mtu isipokuwa matendo na mienendo yake katika jamii anayoishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahakika gani mie mwanamke?Hayo ni maneno ya kujifariji, ndo maana mtoa post akasema huu ni ukweli mchungu.
Lakini usijali dada utapata Mume na utaolewa