Adilinanduguze2
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 1,420
- 1,951
Mwanamke anatafuta mwanaume atakayemtimizia mahitaji yake.Sio kwamba ni dharau bali wanahitaji kupata wanao wapenda kwa dhati.
Unataka kupingana na maandiko ya mungu aliosema mwanamke/mwanaume ataacha wazazi na kuambatana na mwezi wake eti?Haya mambo mimim nashindwa kuyaelewa..... hivi kuna tafafiti zozote zile zilizofanywa na kuonyesha kuna tataizo kubwa la wanawake kutopata wachumba/waume? Na kama suala ni mwanamke kufanya uchaguzi wa nani anamfaa na nani hamfai nadhani pia si tatatizo. Ni bora mwanamke/mwanaume akaishi bila mke/mume kuliko kuliingia janga kisa tu kupata ndoa.
okUsisahau pia kuna viburi hapo A.K.A wagumu hawataki shobo, na hawana mpango wa ndoa.
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
c kwelSina takwimu sahihi sa Mkoa Huu ila Duniani Wanaume wapo kwa 50.8% wakati wanawake ni Asilimia zilizobaki
Karne hizi mwanaume ni dhahabu inayotembea hakika!Safari moja huanzisha nyingine akikwambia anakupenda muitikie
Kuna wadada wako so beautiful wanalalamika. Mtu anatoka anaenda mpaka sokoni na kurudi, hata Mwanamme wa kumuuliza uhali gani hapati Siye tunaofanyisha maombi tunayajua haya
Sent using Jamii Forums mobile app
ila bado kuna ka- tatizo ka kutoolewa wadada wengi miaka ya hv karbuniKitakwimu uko sawa kabisa,idadi ya wanawake na wanaume Ni tofauti.
Lakini idadi ya wanawake na wanaume aliopanga Mungu waoane iko sawa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
rudia kusoma utaelewa tuu...Hii takwimu ni matango pori.
Etii asilimia 10 ni ndugu wa damu!!!
Asilimia 10 ya wanakitongoji au shina?
Mwanamke anatafuta mwanaume atakayemtimizia mahitaji yake.
Baaasi.
Haya ya Upendo wa dhati huwa yanakuja Kama hela ipo.
Sent using Jamii Forums mobile app




Mkuu, kwenye zama hizo biblia imeonesha kulikuwa na masuria.ila bado kuna ka- tatizo ka kutoolewa wadada wengi miaka ya hv karbuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hayo maandiko yameandikwa na wanadamu tu.Unataka kupingana na maandiko ya mungu aliosema mwanamke/mwanaume ataacha wazazi na kuambatana na mwezi wake eti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah..!INASEMEKANA:
Idadi ya watu inafikia bilioni 7.8 dunia nzima huku Wanawake ni bilioni 5.6 Wanaume ni bilioni 2.2.
Hapo utaona busara inamtaka kila mwanamke kujitafakari kabla ya kumkataa mwanaume, au kukataa ndoa ya uke wenza.
Zingatia kwamba, kati ya hao wanaume bilioni 2.2, Bilioni 1 tayari wamekwishaoa, Milioni 200 wako jela na wenye matatizo ya akili na hivyo Wanabaki wanaume bilioni 1 tu
Milioni 500 hawana kazi, Kumbuka asilimia tano (5%) wamo kwenye ndoa za jinsia moja, Asilimia tatu (3%) ni mapadri wa Katoliki. Hawaoi.
Asilimia kumi (10%) ni ndugu wa damu. Hawawezi kukuoa, Asilimia ndogo inayobaki ni wazee kuanzia miaka 80.
Naongezea hapo hatujawatoa wenye upungufu wa nguvu za kiume
Sent using Jamii Forums mobile app
Waowane wenyewe maana hakuna namna nyingineKwahiyo ambao hawajaolewa wafanyeje?
kumbeeee!Mkuu, kwenye zama hizo biblia imeonesha kulikuwa na masuria.
Siku hizi masuria hawapo. Ndio Hawa wasiolewa.
Yawezekana Kuna mtu alitakiwa kuwa mke wa mtu bahati mbaya jamaa kaoa aliyetakiwa kuwa suria hivyo mke kukosa mume
Huu ubaguzi upo Hadi kwenye biblia tunachoamini Ni kitabu Cha Mungu.
Na ukiona mwanamke ndoa imemshinda ujue hakufaa kuwa mke.
Alitakiwa awe anazaa watoto chini ya mwanamke mwingine.
Lakini mabadiliko yaliyoletwa yamesababisha wengine wateseke.
BTW hakuna kipindi wanawake waliwahi kuolewa wote. Hata wakati mtu mmoja anaweza kuwamiliki 10 Bado makahaba walikuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
amini mungu yupo, suala la dini si tija maana kila mtu anavutia kwake, hata mm siku hizi cwaelewi kabisa!Mkuu, hayo maandiko yameandikwa na wanadamu tu.
Hakuna mahali Mungu alitamka maneno hayo. Hakuna ushahidi huo zaidi ya historical facts tu tunazofundishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app