Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 6,116
- 6,827
- Thread starter
- #121
Watu wanazaa sanamaneno ya mungu pale eden hakuna sehem aliosema nendeni mkasome,
alisema nendeni mkazaane muujaze ulimwengu
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa la kusoma had miaka30 kwa mwanamke ni upuuzi wa kiwango cha lami..Watu wanazaa sana
jaribu uone!!Siku ikiwa wanawake ni wachache wanaume ni wengi ina maana wanawake nao wawe na wapenzi wawili na zaidi?




Kwa hiyo wanao soma Mekwa ni Wapuuzi sio, kwako mwanamke asome kufika umri gani?sawa la kusoma had miaka30 kwa mwanamke ni upuuzi wa kiwango cha lami..
Sent using Jamii Forums mobile app
umeelezea kuwa kwa wale wanasoma kuanzia wakiwa wadogo hadi utu uzima, haujadhungumzia suala la memkwa...Kwa hiyo wanao soma Mekwa ni Wapuuzi sio, kwako mwanamke asome kufika umri gani?
OK kwako mwanamke anatakiwa asome mwisho kufikia umri gani?umeelezea kuwa kwa wale wanasoma kuanzia wakiwa wadogo hadi utu uzima, haujadhungumzia suala la memkwa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya wameanza. Mwanamke anakua na waume zake wawili anaishi nao pamoja au wanapeana zamu ya kulala
test uone kitakacho kutokeaKenya wameanza. Mwanamke anakua na waume zake wawili anaishi nao pamoja au wanapeana zamu ya kulala





Mimi sitafuti mume. Hapa tunaongelea in general
namaanisha tafta hao wawili kwa kibongo bongo uone hata kama ni mahawala tu.. lzm kijasho kikutoke bidada..Mimi sitafuti mume. Hapa tunaongelea in general
umekulia wap mkuru!!?Acheni hizi Tafiti Uchwara, Idadi ya wanaume Duniani ni Kubwa kuliko idadi ya Wanawake,
Kuna nini huko kwenye ndoa mpaka iwe Ni bahati?Saiv mwanamke kuolewa ni bahati kubwa na amshukuru Mungu
Sio kweli Mungu, utafiti wenye uovu ndani yake*INASEMEKANA:*
_*Idadi ya watu inafikia bilioni 7.8 dunia nzima.*_
*Wanawake ni bilioni 5.6 Wanaume ni bilioni 2.2.*
_*Hapo utaona busara inamtaka kila mwanamke kujitafakari kabla ya kumkataa mwanaume, au kukataa ndoa ya uke wenza.*_
*Zingatia kwamba, kati ya hao wanaume bilioni 2.2:*
1. _*Bilioni 1 tayari wamekwishaoa.*_
2. _*Milioni 200 wako jela na wenye matatizo ya akili.*_
*Wanabaki wanaume bilioni 1 tu.*
3. _*Milioni 500 hawana kazi.*_
4. _*Kumbuka asilimia tano (5%) wamo kwenye ndoa za jinsia moja.*_
5. _*Asilimia tatu (3%) ni mapadri wa Katoliki. Hawaoi.*_
6. _*Asilimia kumi (10%) ni ndugu wa damu. Hawawezi kukuoa.*_
7. _*Asilimia ndogo inayobaki ni wazee kuanzia miaka 80.*_
*Naongezea hapo hatujawatoa wenye upungufu wa nguvu za kiume.*
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nini huko kwenye ndoa mpaka iwe Ni bahati?
Upate right patner sio ili mradi ndoa. Kama watoto unaweza pata bila ndoaNadhan itakua ni ile aman unayoapata moyon ukijua i have some one to count on..mtu ambae mnaeza pata watoto na mka watch over them grow wakiwa wanajitengenezea maisha yao..ts a good feeling kupata mfariji..trust me upweke so poa specially when upo late 50s au 60s ivi..afu imagine huna wa kua na ww au kukuskiliza instead upo vituo vya kulea wazee walio telekezwa
Sent using Jamii Forums mobile app