Wanawake ukubalini huu ukweli mchungu

Wanawake ukubalini huu ukweli mchungu

*INASEMEKANA:*

_*Idadi ya watu inafikia bilioni 7.8 dunia nzima.*_

*Wanawake ni bilioni 5.6 Wanaume ni bilioni 2.2.*

_*Hapo utaona busara inamtaka kila mwanamke kujitafakari kabla ya kumkataa mwanaume, au kukataa ndoa ya uke wenza.*_

*Zingatia kwamba, kati ya hao wanaume bilioni 2.2:*

1. _*Bilioni 1 tayari wamekwishaoa.*_

2. _*Milioni 200 wako jela na wenye matatizo ya akili.*_

*Wanabaki wanaume bilioni 1 tu .*

3. _*Milioni 500 hawana kazi.*_

4. _*Kumbuka asilimia tano (5%) wamo kwenye ndoa za jinsia moja.*_

5. _*Asilimia tatu (3%) ni mapadri wa Katoliki. Hawaoi.*_

6. _*Asilimia kumi (10%) ni ndugu wa damu. Hawawezi kukuoa.*_

7. _*Asilimia ndogo inayobaki ni wazee kuanzia miaka 80.*_

*Naongezea hapo hatujawatoa wenye upungufu wa nguvu za kiume.*

Sent using Jamii Forums mobile app
On top of that " the beautiful one not yet born "

Haya mambo mimim nashindwa kuyaelewa..... hivi kuna tafafiti zozote zile zilizofanywa na kuonyesha kuna tataizo kubwa la wanawake kutopata wachumba/waume? Na kama suala ni mwanamke kufanya uchaguzi wa nani anamfaa na nani hamfai nadhani pia si tatatizo. Ni bora mwanamke/mwanaume akaishi bila mke/mume kuliko kuliingia janga kisa tu kupata ndoa.
 
Duuuh huu uzi unawavunja moyo sana.
*INASEMEKANA:*

_*Idadi ya watu inafikia bilioni 7.8 dunia nzima.*_

*Wanawake ni bilioni 5.6 Wanaume ni bilioni 2.2.*

_*Hapo utaona busara inamtaka kila mwanamke kujitafakari kabla ya kumkataa mwanaume, au kukataa ndoa ya uke wenza.*_

*Zingatia kwamba, kati ya hao wanaume bilioni 2.2:*

1. _*Bilioni 1 tayari wamekwishaoa.*_

2. _*Milioni 200 wako jela na wenye matatizo ya akili.*_

*Wanabaki wanaume bilioni 1 tu .*

3. _*Milioni 500 hawana kazi.*_

4. _*Kumbuka asilimia tano (5%) wamo kwenye ndoa za jinsia moja.*_

5. _*Asilimia tatu (3%) ni mapadri wa Katoliki. Hawaoi.*_

6. _*Asilimia kumi (10%) ni ndugu wa damu. Hawawezi kukuoa.*_

7. _*Asilimia ndogo inayobaki ni wazee kuanzia miaka 80.*_

*Naongezea hapo hatujawatoa wenye upungufu wa nguvu za kiume.*

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wengi wanao tafuta wanawake kati ya wanaume 10 mmoja tu ndiye huwa mwenye nia ya dhati na kweli ...

Wengi huwa wanajivisha ukondoo ...ili tu wapate wanawake wa kungonoka nao..

Ni wanaume wachache sana Ambao huwa wanapolitamka neno Nakupenda huwa wanamaanisha wakisemacho ..... ila wengi hulitumia neno nakupenda kama mtego wanyavu wenye lengo la kuvua. samaki tu baharini

Na maanisha kwamba usihadaike na wanaume wanaojifanya kutafuta wanawake humu ukadhani kuwa wana dhamira nzuri ya ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Safari moja huanzisha nyingine akikwambia anakupenda muitikie

Kuna wadada wako so beautiful wanalalamika. Mtu anatoka anaenda mpaka sokoni na kurudi, hata Mwanamme wa kumuuliza uhali gani hapati Siye tunaofanyisha maombi tunayajua haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom