Habari?
Umemwona mwanaume umempenda na unatamani awe mpenzi wako lakini yeye hana hata dalili ya kukutongoza , je ni sahihi kumtongoza?
Au huwa mnafanyaje hadi ajue kuwa unampenda?
Asante.
Jipitishe pitishe anga zake.
Kama hajui kusoma, hata picha aone.
Ikibidi muombe urafiki FB umuingie mpaka DM.
Halafu jichekeshe kiasi, ile si ki desperado.
Kama riziki, itakuwa riziki tu.
Kama si riziki, sema "hakuna mkate mgumu kwenye chai". Ongeza juhudi.
Jibabue kama Mtalibani, mjaze angle zake, kama anapenda kusifiwa msifie, kama mtu wa ma deal muingie na story za ma deal, kama mtu wa maakuli mpeleke kwenye culinary arts, kama anaoenda Kowloon triangke mambo ya labia minora and majora usiwe na hiyana. Mpeleke Ikulu yake mpe ufalme wake hapa duniani na ahadi za supernatural bliss baada ya hapo.
Halafu muangalie speed yake, anajaa 18?
Kwa msaada zaidi, nitafute nikupe masharti ya Babu Gagu.