Sheillah Sheillah
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 695
- 1,803
- Thread starter
- #41
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jipitishe pitishe mbele yake ukiwa na kanga moja.
[emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jipitishe pitishe mbele yake ukiwa na kanga moja.
[emoji125]
HahahhahaahhhhhahNina wasiwasi wewe ni mwanaume
Hii mbinu unayompa, ataliwa kimasihara na ataachwa tu.Pia jaribu kumuulizia mambo ya mahusiano kama je ana mahusiano na mtu? Hiyo itampa maswali kuwa uenda unamtaka, pia kwenye zawadi mtafutia zawadi ya boxa za ndani itamtekenya acheke
Lazima ataliwa kimasihara na kuachwa soremba ye atulie tu hakuna namna.Natoa siri ya kambi.
Taka msaada kwake, midogo midogo yote ambayo unajua any stranger can try to help you.
Kama unamfaa, week haiishi usha tongozwa.
Aisee uzipendwa kumbe unafundisha sanaMmhh mimi kwa kweli kumpenda mwanaume kiasi hicho hapana na hata ikitokea siwezi kumuonesha. Wanaume wenyewe ndiyo hawa wengi umalaya tu.
Wewe utampenda na utafanya kila njia kumuonesha ajue kuwa unampenda mwenzako ataona hiyo ndiyo fursa ya kula tunda kimasihara. Wenyewe wanasemaga "ng'ombe kajipeleka machinjioni" sijui "mbuzi kafia kwa muuza supu" na ujinga mwingine kibao.
Mbinu nzuri hii.asanteNatoa siri ya kambi.
Taka msaada kwake, midogo midogo yote ambayo unajua any stranger can try to help you.
Kama unamfaa, week haiishi usha tongozwa.
😅😅😅 Relationship to start here, it is not Eazi.