Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,367
- 12,361
Wanaroga
My dear mtu unayempenda utafurahi akikukula tu then akuache? Nadhani utapenda muendelee tu kuwa wote sio lazima ndoa ila walau utapenda penzi lenu liende ende kidogoHa ha ha ha
Kwani ukimpenda mtu, utakuwa unataka ndoa??
Ha ha ha ha
Hata kuliwa nako kunatosha sana.
Sijui kwanini watu mnawasaga ndoa tu wakati naona kulana ndio kumeshika hatamu kwa wenye ndoa na wasio ndoa, na wanafunzi, wana chuo
Dunia hii imejaa unafiki sana
Ha ha ha ha
Kwani ukimpenda mtu, utakuwa unataka ndoa??
Ha ha ha ha
Hata kuliwa nako kunatosha sana.
Sijui kwanini watu mnawasaga ndoa tu wakati naona kulana ndio kumeshika hatamu kwa wenye ndoa na wasio ndoa, na wanafunzi, wana chuo
Dunia hii imejaa unafiki sana
You are right dear, yes wanatongozwa na wanadumu kwenye relationship ila 1 kwa 10 they have that level of understanding, wanaume wa kiafrika wengi bado hawaamini katika kutongozwa na wanawake na ndio maana wanawake wengi waliotongiza wanaume wameishia kuumizwa kwa kugezo kwamba kajileta mwenyeweSio kweli
Ni wrong belief tu ya watu.
Wanaume wanatongozwa na relationship zinadumu na nyingine zimeingia kwenye ndoa.
Si rahisi kwa mdada kutongoza kavukavu ila vitendotendo vitamwonyesha tu kuwa unahisia nae.
Haki nikiwa chuo niliwahi kutongozwa,sikuwahi kumpenda mwanamke kama nilivyompenda yule dada.Alikuja kuniacha ilibakia sekunde niwe chiziSio kweli
Ni wrong belief tu ya watu.
Wanaume wanatongozwa na relationship zinadumu na nyingine zimeingia kwenye ndoa.
Si rahisi kwa mdada kutongoza kavukavu ila vitendotendo vitamwonyesha tu kuwa unahisia nae.
Acha tuOhoooooo......[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Aliyetoa cheni ya bandia kapewa hela ya bandia ....
Jf pana mno...
Wamekariri tu bwana. Ukimpenda mtu onyesha usimtongoze tuHivi kumbe ni kosa kumpenda mwanaume?
Daaaa
Ukweli mchunguEnglishlady
Dada Hakuna mtu yupo bize kwenye mapenzi,hayupo hata mmoja.
Hakupi hata dk moja,ukiona mtu Yuko hivyo ujue wewe haupo katika vipaumbele vyake.
Madaktari pamoja na ratiba yao ngumu lakini huwa wanapata japo kimuda Cha kwenda kunywa chai hata dk 5.
Last month nimeenda hsp,dokta alikuwa ametingwa Sana Yule,nimerudi kuchukua majibu yangu mule ofisini kwake alitumia dk 1 tu kuongea na mpenzi wake ile romantic call only for a minute.
Sasa hiyo Ni kazini tu,kuna muda anarudi nyumbani..analala,anaamka,unataka kunambia hana muda kabisa wa kukutext au kukupigia?
Yaani hakuna mtu Yuko busy hii dunia hasa katika swala la mapenzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupendana ni akili za kingono ngono?Hizi akili za kingono ngono Hadi lini jamani wa Tz
Hiii kweli aisee,nina wifi yangu alikua anampenda sana kaka aisee tulikula vyakeshoga wala usijaribu, raha ya mwanamke kutongozwa, tena hawa wanaume wa sikuhizi ukilogwa ukaanza wewe kuonyesha interest imekula kwako anageuka marioo utaombwa hela mpka ushangae, ananza yeye wanafatia mawifi na wakwe na mashemeji