Wanawake ukimpenda mwanaume unafanyaje hadi uwe naye?

Wanawake ukimpenda mwanaume unafanyaje hadi uwe naye?

Hiyo mbona kaz ndgo sana, yaan unawaza jinsi ya kumpata m'ume kweli, tena wanaume wenyew hawa wa karne hii hee. Hahahaaaa wanaume hawana mambo ya kike wao tamaa ni mbele zaidi mbona jambo dogo tu. Embu jiongeze mtoto wa kike unatutia aibu wenzio[emoji1]
 
Story ambazo nimewahi kuzisikia ni kwamba wapo.
Na mim nasema inawezeka.

Ila tu mwanaume aone wazi, na hata aweze kuelezea kua, kwanin wew umefaa kua mke.
Baada ya hapo mtengeneze mbinu, za kufikia hayo malengo.
Ohoooo oky....nimeelewa.

Ila JF kubwa🤪🤪unaweza kuwa na mahusiano usijue yanahusiana na nini
 
Mmhh mimi kwa kweli kumpenda mwanaume kiasi hicho hapana na hata ikitokea siwezi kumuonesha. Wanaume wenyewe ndiyo hawa wengi umalaya tu.

Wewe utampenda na utafanya kila njia kumuonesha ajue kuwa unampenda mwenzako ataona hiyo ndiyo fursa ya kula tunda kimasihara. Wenyewe wanasemaga "ng'ombe kajipeleka machinjioni" sijui "mbuzi kafia kwa muuza supu" na ujinga mwingine kibao.
Hebu njoo kwangu mi sikuli kimasiahara...Tutaimba kwaya tu all days 🤣🤣🤣 kumshukuru mungu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Na unaweza kuwa kwenye mahusiano kumbe mnahusiana kwa mzunguko.
Ohoooooo......😅😅😅😅😅
Aliyetoa cheni ya bandia kapewa hela ya bandia ....

Jf pana mno...
 
Najua wanawake hamuwezi kutongoza, asili inakuzuia ila unaweza kutumia mbinu kadhaa kumuonyesha kuwa upo interested na yeye.

Nunua zawadi ya boxer, socks na vest. Akichomoa hapo utakuwa humvutii. Ninachojua, jicho lako linatosha kumkosha kidume, salam tu inatosha kabisa. Sasa sijui unafeli wapi.
Kama hana tako je!? 😂😂😂
 
Mmhh mimi kwa kweli kumpenda mwanaume kiasi hicho hapana na hata ikitokea siwezi kumuonesha. Wanaume wenyewe ndiyo hawa wengi umalaya tu.

Wewe utampenda na utafanya kila njia kumuonesha ajue kuwa unampenda mwenzako ataona hiyo ndiyo fursa ya kula tunda kimasihara. Wenyewe wanasemaga "ng'ombe kajipeleka machinjioni" sijui "mbuzi kafia kwa muuza supu" na ujinga mwingine kibao.
Tunafahamu mengi mabaya, madhambi wanayokua nayo wanaume.
Hata usipo jionyesha, mafisi wanatongoza tu.

Ulipewa akili za nini??

Ndo uzitumie kujua mwanaume asie na tabia mbovu ni yupi.
 
Mwanaume unaanzaje kumla kimasihara.
Unamfanya vipi hadi muingie faragha?

Msifie mheshimu mthamini mjari sana na zaidi mkaribishe kwako kula nae chakula.

Fanya hivyo kwa wiki moja tu.

Baada ya hapo jifanye unaumwa na upo nyumbani unahitaji msaada wako na kweli ujifanye haswaa unaumwa na usitake akutibu kwa gharama zake hapana. Jitibu mwenyewe hata akikupa fedha kataa.

Jifanye upo hoi alale kwako
Wiki inayofuata mshukuru alafu mwaandalie chakula
Umevaa kanga moja tu utaona kitu hichoo atakutia mpaka ukomeeee
 
Back
Top Bottom