Mi nilimpenda Dr mmoja
Love at first sight....nilienda kupata tiba....nilihangaika ile siku kwa kweli....nikafanya Mambo mpaka nikapata namba yake, nikaanza salamu za kila mara, akawa anajibu vizuri.....nimejipendekeza kwa salamu kila siku na pole kwa kazi nyingiii, nikienda hospital akawa anaonyesha kuitikia wito, nikaomba date nae alisema akipata nafasi atanambia...lakini ni zaidi ya mwaka hatujakutana....ila alionyesha interest kabisaa ya kunipendapenda....ila anasitasita.....sijui ni mwoga.
Nimeshampelekea zawadi ya peni ili awe anandikia kwenye kazi yake na keki niliyopika kwa mkono wangu.
Yaani nimetuma sms mpaka nimechoka sasa naona kama namboa....nimejipa moyo konde maisha yaendelee tu....ana view status zangu hata ziwe nyingi.
Nipo hapa nami najifunza maujanja nimuanzie tena.