cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,709
[emoji23][emoji23]Panga panga ,mi nipo tuu,
Nitakuruhusu utest hata mara tatu.[emoji16] [emoji16]
Ukienda kwa jamaa, hachomoi.
[emoji23][emoji23]Panga panga ,mi nipo tuu,
Nitakuruhusu utest hata mara tatu.[emoji16] [emoji16]
Ukienda kwa jamaa, hachomoi.
Rafiki ina maana hiyo chura hujaielewa niiweke paji la uso?Rafiki ile avatar yako ya paji la uso ni traaaam sana!(in wadada voice)
Tupo wagumu wew, usituchulie hivo..Hiyo mbona kaz ndgo sana, yaan unawaza jinsi ya kumpata m'ume kweli, tena wanaume wenyew hawa wa karne hii hee. Hahahaaaa wanaume hawana mambo ya kike wao tamaa ni mbele zaidi mbona jambo dogo tu. Embu jiongeze mtoto wa kike unatutia aibu wenzio[emoji1]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mimi ninasema ahsante baba kwa mwanaume huyu.Kuna wimbo mmoja wa Marquis walikuwa wanaimba
"Na mume wangu yuko hapa hapa.
Ameniruhusu kucheza muziki wa kwetu..."
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rafiki ina maana hiyo chura hujaielewa niiweke paji la uso?
mi mwanamke akinifanyia hivi najua anataka kunipiga mizinga....hivyo kama ni mzuri nitamla kama haeleweki namkimbiaJaribu kujipendekeza pendekeza kwake, huku ukimtega taratibu taratibu anaweza akaingia box ,sisi wanaume tumeumbwa na tamaa .
Usijidanganye ukamfata direct ukamwabia utaliwa kiutani kisha akukimbie. Sisi wanaume huwa hatupendi vitu virahisi rahisi
Kama ni hivyo sawaHahaaa uzuri anajarbu kuwafunda watoto wa kike.
Habari?
Umemwona mwanaume umempenda na unatamani awe mpenzi wako lakini yeye hana hata dalili ya kukutongoza , je ni sahihi kumtongoza?
Au huwa mnafanyaje hadi ajue kuwa unampenda?
Asante.
Habari?
Umemwona mwanaume umempenda na unatamani awe mpenzi wako lakini yeye hana hata dalili ya kukutongoza , je ni sahihi kumtongoza?
Au huwa mnafanyaje hadi ajue kuwa unampenda?
Asante.
Uzuri wanaume ukituambia unatupenda wala hatukatai, we nenda kamwambie kabla wezako hawajakuwahi.Habari?
Umemwona mwanaume umempenda na unatamani awe mpenzi wako lakini yeye hana hata dalili ya kukutongoza , je ni sahihi kumtongoza?
Au huwa mnafanyaje hadi ajue kuwa unampenda?
Asante.
Yaani upo kwenye maombi ya kufunga alafu unsoma nyuzi za Aina hii?! upo kwenye maombi ya kufunga alafu bado unakiri kwamba wewe ni mtukanaji?!
Labda kuwadiHahaaa. Sasa kiumeni kwenda kikeni anaitwa mshenga.
Kikeni kwenda kiumeni anaitwa nani?
Au ndiyo utamaduni mpya hata jina halipo?
Hii inaonyesha JF wanawake ni wachache.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilisoma bila kuangalia ID nilipomaliza imebidi niangalie salaleee kumbe Kiranga.... Hivi Kiranga una mke/ mpenzi?Jipitishe pitishe anga zake.
Kama hajui kusoma, hata picha aone.
Ikibidi muombe urafiki FB umuingie mpaka DM.
Halafu jichekeshe kiasi, ile si ki desperado.
Kama riziki, itakuwa riziki tu.
Kama si riziki, sema "hakuna mkate mgumu kwenye chai". Ongeza juhudi.
Jibabue kama Mtalibani, mjaze angle zake, kama anapenda kusifiwa msifie, kama mtu wa ma deal muingie na story za ma deal, kama mtu wa maakuli mpeleke kwenye culinary arts, kama anaoenda Kowloon triangke mambo ya labia minora and majora usiwe na hiyana. Mpeleke Ikulu yake mpe ufalme wake hapa duniani na ahadi za supernatural bliss baada ya hapo.
Halafu muangalie speed yake, anajaa 18?
Kwa msaada zaidi, nitafute nikupe masharti ya Babu Gagu.
Waombaji huwa hawapendi na kupendwa?Yaani upo kwenye maombi ya kufunga alafu unsoma nyuzi za Aina hii?! upo kwenye maombi ya kufunga alafu bado unakiri kwamba wewe ni mtukanaji?!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aiseewanawake mna bahati mbaya.
unaweza mtongoza ukakuta hasimamishi utafanyaje sasa.
ila sisi wanaume tuna uhakika wa tobo100%
muulize kwanza kama anadinda usije poteza mda
msione hatuwatongozi tuna masahibu yetu