Wanawake ukimpenda mwanaume unafanyaje hadi uwe naye?

Wanawake ukimpenda mwanaume unafanyaje hadi uwe naye?

Habari?

Umemwona mwanaume umempenda na unatamani awe mpenzi wako lakini yeye hana hata dalili ya kukutongoza , je ni sahihi kumtongoza?

Au huwa mnafanyaje hadi ajue kuwa unampenda?

Asante.

kibaya saana ni kama una mazoea au mnafahamiana na hajaonyesha dalili zozote, Dada ukiingia hapo jipange kulia saana baadae au labda kama unataka akukule tu basi!!

sisi wanaume huwa tuna hisia na matamanio ya haraka saana na utayaona hata the first yat unapo meet na mtu...............
 
shoga wala usijaribu, raha ya mwanamke kutongozwa, tena hawa wanaume wa sikuhizi ukilogwa ukaanza wewe kuonyesha interest imekula kwako anageuka marioo utaombwa hela mpka ushangae, ananza yeye wanafatia mawifi na wakwe na mashemeji
 
Kwanini mkuu..
I mean, it take a time.
But inawezekana.. endapo..
wanao kuzunguka machoni wakawa hawafai, hasa kimawazo, wakawa na mawazo mgando.

Ila humu ukampata unae mtaka.
 
👌👌👌👌👌👌
 
I mean, it take a time.
But inawezekana.. endapo..
wanao kuzunguka machoni wakawa hawafai, hasa kimawazo, wakawa na mawazo mgando.

Ila humu ukampata unae mtaka.

Hivi huku JF kuna watu wako kwenye mahusiano na wengine wameoana kabisaaa yani kabisa kabisa..bila tatitzo!!
 
Hapana sio sahihi kama yeye hana interest hata kidogo ,jua jamaa anapiss kali akikuona anaona vumbi tu🤣🤣, ukijichanganya atakula kimasihara alaf apite hivi 😎

Note; hayo mambo ya mwanamke kumtongoza mwanaume ni ya kizungu waachie wenyewe.
Nitakuja kuleta story, yangu nilivyoingizwa king na mtoto wa kike.
 
Habari?

Umemwona mwanaume umempenda na unatamani awe mpenzi wako lakini yeye hana hata dalili ya kukutongoza , je ni sahihi kumtongoza?

Au huwa mnafanyaje hadi ajue kuwa unampenda?

Asante.
Kupendwa raha sana mdogo wangu..... Raha mno mno mno..... Usijihangaishe sana.... Kuwa makini pia.
 
Kwanza hakikisha anakunotice.

2. Akikusalimia msalimie kwa bashasha zaidi.

3. Usimuonyeshe unamtaka ila hakikisha unampa attention kwa kila kitu anachokianzisha kati yenu.

4. Hakikisha pia we ni type ya mwanamke ambae wanaume wengi wanavutiwa nae.

5. Usimwambie direct unampenda akikukataa utajichukia.

6. Good lucky
 
Hivi huku JF kuna watu wako kwenye mahusiano na wengine wameoana kabisaaa yani kabisa kabisa..bila tatitzo!!
Story ambazo nimewahi kuzisikia ni kwamba wapo.
Na mim nasema inawezeka.

Ila tu mwanaume aone wazi, na hata aweze kuelezea kua, kwanin wew umefaa kua mke.
Baada ya hapo mtengeneze mbinu, za kufikia hayo malengo.
 
Ngoja niwaibie Siri ya kambi;
Sisi wanauwe huwa hatujui kukataa kabisa endapo kama mwanamke umemuelewa!! Cha msingi jaribu kufanya vile vitu anavyovipenda ndani ya siku chache Sana lazima utongozwe usipotongozwa ujue Kuna sehem unakosea au mwanaume ana matatzo😅😅😅😅😅😅
 
Kuna jirani hapa anatishia kujinyonga!
Mi hata sina shida nae ajinyonge tu kwani mi nimemwambie nataka aliepigwa pasi..😎

Labda na hao wengine ndo wanafanyaga hivi ngoja tuwasubiri watete lkn huyu kama amezamilia kujiua na ajiue tu.. heri lawama kuliko fedhea..😂
Motorola bapa hapana...Heri lawama tu?! au sio mkuu?
 
Back
Top Bottom