Wanawake ukimpenda mwanaume unafanyaje hadi uwe naye?

Wanawake ukimpenda mwanaume unafanyaje hadi uwe naye?

Jaribu kujipendekeza pendekeza kwake, huku ukimtega taratibu taratibu anaweza akaingia box ,sisi wanaume tumeumbwa na tamaa .

Usijidanganye ukamfata direct ukamwabia utaliwa kiutani kisha akukimbie. Sisi wanaume huwa hatupendi vitu virahisi rahisi
 
Alaf niwe single mother mama Mambo😂
Nje na jokes kiukweli kumuacha mtoto hilo zoezi tabu sana!.. nawashangaa hata wale wa kupewa hela ati manzi azae nami then nisimsumbue dah!.. nikifanya hivyo ajue nimefata hela nimepigika ila mtoto akae ajue sio wakwake pakee kenge lazima nimsumbue tu hata ikibidi na gharama alizonilipa nitamrudishia.. blood still blood.
 
Mwambie una shida na mkope hata elfu 50, kisha uwe mwaminifu kumpa updates lini utampa just kuwa naye karibu, ukianza kilipa lipa kidogo kidogo, just kumkeep around you.

Hakuna mwanaume mgumu mbele ya mwanamke mkarimu na mwaminifu.
Mwingine ukimwambia maswala ya pesa anajiweka mbali na wewe.
 
Hapana sio sahihi kama yeye hana interest hata kidogo ,jua jamaa anapiss kali akikuona anaona vumbi tu[emoji1787][emoji1787], ukijichanganya atakula kimasihara alaf apite hivi [emoji41]

Note; hayo mambo ya mwanamke kumtongoza mwanaume ni ya kizungu waachie wenyewe.
Kwahiyo ni bora kufa na ya moyoni[emoji50][emoji50]
 
Unaweza ukampenda Mwanaume kwa dhati na yeye yupo bize na Mambo yake ..Sasa we jilengeshe utaliwa na utaachwa muda si mrefu ..Kuna kale kamsemo kana sema mwanamke anae jilengeshe anataka ku kazwa
 
Back
Top Bottom