Wanawake, ukimpenda mwanaume halafu yeye hakutongozi huwa mnafanyaje?

Ila anaweza kukuwekea mitego yote ukaona kabisa huyo ananitaka..sasa tabu inakuja pale unamface anaanza kuleta tena vimaringo ili aoneshe we ndo unamtaka zaid afu yeye wa thaman haswa...mi huwa ikifika stg hyo nakula buyu najifanya kama sijawahi hata kukujua....nongwa inaanzia hapo...anaanza kukutangaza kuwa huyu kaka anaringa....kumbe yy ndo kalianzisha
 
Back
Top Bottom