Wanawake, ukimpenda mwanaume halafu yeye hakutongozi huwa mnafanyaje?

aje?

Ila wanawake mkitongoza mkikataliwa mnatia huruma sana, kuna mdada nikimuangalia anavyoteseka sijui nimuhurumie? Ila hapana
Nafunguka hisia zangu kama nyie tu.

😂😂😂kuna kijana niliwa kumtongoza huu ndo ulikuwa my first and last mtongozo🤣🤣🤣akaniletea pozi mara ya kwanza nikamlia buyu ile kama namsikilizia 🤣wiki nyingi akaingia kingi we dated miaka minne kama sio mitano😂
 
Nafunguka hisia zangu kama nyie tu.

😂😂😂kuna kijana niliwa kumtongoza huu ndo ulikuwa my first and last mtongozo🤣🤣🤣akaniletea pozi mara ya kwanza nikamlia buyu ile kama namsikilizia 🤣wiki nyingi akaingia kingi we dated miaka minne kama sio mitano😂
Dah jamaa mstaarabu ila ukute vijana wa hovyo hapo angepiga tu na kusepa ila miaka 4 mlipendana
 
Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?

Mzee baba unaulizaje maswali ya kigoloko hivi...

Wanawake wakitupenda wanaume huwa wanaonesha ishara ambazo huwa ni kwa maneno au matendo...Mwanaume unapaswa kuzitambua hizo ishara...

Sio wakati wote wanaume huwa tunatongoza, kuna muda unaoneshwa green light nawe unanyoosha goti...
 
Ukweli ni kuwa wanawake wanajua kutongosa Sana tu ila sio Directly ni indirectly.
Hawaonesh wazi wazi ..yupo boss kwenye ofisi mojà aliwahi kuwa ananiita ofisin age tuseme 33+ sasa
Anakuita Ana kukalisha kwenye kiti anakuambia subiria kuna Kazi namalizia Hapa kwenye laptop nikupatie una kaa wee, hadi karbu lisaa , watu wengne wanaingia anatatua shida zao ww, bado umekalia kiti tu ...ukitaka kuondoka ooh subiri.una haraka gani'? Nilipitia lakini... kisaikologia niliteseka maana huwezi mtongoza boss wako, pia ukitaka kuondoka hataki...watu wanaingia wanakuona umekalishwa tu kwenye kitu'.Daaah😭
.niishie 2 Hapa🙆
 
Back
Top Bottom