TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,787
- 4,262
Uchafu na shetani ni marafiki zakoWanawake wengi huwa wanalaumu kwamba mwananaume hamkojozi wakati huo huo haelewi chochote kuhusu kukojoa.
iko hivi suala la sex ni suala la kisaikolojia,huw linakuwa pevu pale mtu ambapo mood yake inakuwa relaxed na attention kwa shughuri hiyo,na suala hilo linapaswa lifanyike katika hali ya utulivu wa akili,mwili na mazingira.
Kwa kawaida mwanaume huwa anakojoa mara moja kisha anatulia mpaka aanze tena,lakini mwanamke anaweza kukojoa mpaka mara 4 kabla ya mwanaume hajakojoa kama yupo katika utimamu kisaikolojia.
Mwanamke una stress za mchezo,vikoba,makolokolo kibao halafu unataka mwanaume akukojoze?
imagine unatoka kazini saa 11,unafika nyumbani saa 5 usiku,umechoka, halafu unawaza kuamka saa kumi kuwahi kazini tena,na unaupwiru unataka mwanaume aichape ukojoe katika hali kama hiyo? thubutu hata kama una upwiru ni bahati sana kwa watu wa chache mno.
kukojoa kwa mwanaume ni must sio kwa mwanamke(sio kila mwanamke anaweza kukojoa ktk kila tendo) sababu anaathiriwa sana na state of mind,kwahiyo acheni kulaumu hamkojozwi,wakati mkaka wa watu anasimamia kucha mpaka unakauka lakini wapi.
Shetani ni nani?Uchafu na shetani ni marafiki zako
uliwahi kusikia nani kavunjika?Endeleeni kushindana na mlipotoka hadi mvunjike viuno.
uliwahi kusikia nani kavunjika?
sasa mlalamikaji tangu lini akaanzisha uzi,mlalamikiwa ndio ananzishawalalamike wanawake ila uzi uanzishe wew ina huu😏😏
Mtu yeyote anayewaza mambo kinyume na amri za Mungu. Amri za Mungu kumbuka.Shetani ni nani?
Mungu yupi huyo unaye muongelea mkuu aliyeumba hicho kituNdiyo maana wanawake wakaumbiwa kukaa nyumbani na kufanya vijishughuli vya hapa na pale.
Mungu hakuwa mjinga!
Sema as time goes, nature inaji-restore taratiiiibu!
PIMA KIWANGO CHAKO CHA KUELEWA KWANZAWewe unakojozwa mkuu?
Jibu swali uliloulizwaPIMA KIWANGO CHAKO CHA KUELEWA KWANZA
KILA KITU KILIUMBWA NA MUNGU,AKIWEPO HUYO SHETANI NA HAYA MAMBO YANAYOITWA YA KISHETANI,SASA NANI SHETANI ?KATI YA ALIYEUMBA MAMBO YOTE NA ALIYEMUUMBA SHETANI?Mtu yeyote anayewaza mambo kinyume na amri za Mungu. Amri za Mungu kumbuka.
Shetani ni kufikiria mabo machafu wakati usio wake. Difficult to define......in the context of this thread!