Wanawake tusidanganyike na majani ya chai

Wanawake tusidanganyike na majani ya chai

Urembo umewazidi nguvu dada zetu, wanatafuta ukamilifu,Subhan'Allah. Wanaume nao tunachangia kwa kiasi kikubwa unakuta mume anazichukia hata zile stretchmarks baada ya ujauzito au sometimes unakuta mwanamke wenyewe hazipendi,yapasa kumpa moyo mwanamke wa namna hii. Zile stretchmarks ni alama ya jihad (struggle) ,signs of a huge sacrifice,Mola atuhifadhi kwani hakika ukamilifu ni wake na si wa mwanadamu.
 
Kuna majani wanakuwa wanatangaza kuwa yanaondoa mafuta tumboni na linakuwa flat,,,kumbe hakuna kitu wao wanaenda kufanyiwa upasuaji ,gym wanaenda piga picha tu
Navyofahamu hayo majani yanaondoa sumu sumu mwilini hyo ya kuwa na tumbo flat ni lazma mazoezi na kupunguza kula
 
Nyie ndio mnatufanya tunahaha na kututukania matumbo yetu
Hayo makosa sasa hupaswi kusikiliza nini kinasemwa juu yako, unapaswa kusikiliza nini kinasemwa kutoka kwako.
Wanaosema juu ya mtu mara nyingi huwa chini ya mtu na wanaosema yanayotoka kwako mara nyingi huwa ni wakwako! Kwa hiyo msikilize wa kwako(if you know what I mean)
 
usiwashitue waendelee kushikiwa akili zao na hao wauzaji. maana hawajiongezi .
majani toka lini yakaogeza size ya Mat....
Wanaambiwa hayo majani yana virutubisho so ukitumia tumbo linakuwa flat alafu kishundu ndo kinatokeza hahahahaha kumbe uongo
 
Back
Top Bottom