Wanawake tusidanganyike na majani ya chai

Wanawake tusidanganyike na majani ya chai

Kwa hiyo mix lazima tumbo litutumke,na hapo hujaweka supu na chapati 2 kila asubuhi,utasikia anasema "yaani mi nashangaa hili tumbo linatoka wapi,yaani jinsi ninavyojitahidi kutokula hovyo hovyo hata sielewi"...



hahahahahahahahah uwiiiiiiii acha nicheke jaman
 
Hawa wanawake walivyojiongeza kwa surgery unaweza kujikuta unamkifuru M/Mungu kwa kukutoa mbande mbande ka jumba la udongo
 
Yoooote hayo ni kwa ajili ya kuturidhisha sisi wanaume...interesting, kwa nini baadhi yenu hamridhiki na maumbo yenu mliyojaaliwa na Muumba?
 
Kadhalika kwa wanaume, kuna products kedekede utaambiwa zaongeza ukubwa/unene/urefu wa penis size unayotaka. Na kwa kuwa kuna wimbi kubwa la vibamia kupigwa madongo kila kona na wanawake, basi unaingia mkenge, hasa kwa kutamani kuwa na size kubwa ya penis kama unazoona kwenye porn....bila kujua kwamba hao ma porn stars wanafanyiwa surgery kuongeza ukubwa wa penis, na wanatumia madawa ya kuongeza nguvu, maana after penile surgery, lazima erection itaathirika. Tuwe makini tusitake kuwa na maumbile ambayo sio mpango wa Mungu.
 
Back
Top Bottom