Wanawake tusidanganyike na majani ya chai

Wanawake tusidanganyike na majani ya chai

Huu uzi ulitakiwa kuwa jukwaa la jokes maana umeifanya nicheke sana.
Anyway poleni wanawake kumbe mnahangaika sana hiyo yote mtuvutie[emoji23]
 
Kumbe! Wallah na mm nshakunywa sana hio michai saivi nafanya mazoezi naona inasaidia tumbo linarudi
 
Namshukuru sana Mungu sijawahi kuvutiwa wala kutamani umbo la Kim wala yyt yule. Namshukuru Mungu sana kwa kuniumba hivi nilivyo... kila alichonipa ni kzr hata we ukiona kibaya ni macho yako [emoji23][emoji23][emoji23]
Nadunda hata na mabutu yangu tatu kichwa na bado nangara NAJIKUBALI KNM..

Tumshukuru Mungu kwa kila alichotupatia wamama tunatumia mda mwingi sana kujipendezesha ili kuwavutia wanaume khaaa! Mbona wenyewe hawafanyi hivyo...
Mtakufa bure muwaache wanatumbua na kiba Ebitoke sie
 
Watafanya migongo yetu ipinde kwa mazoezi, huko insta kila mtu busy na squat ili kishundu kiongeze...
Kumbe wao ni kwa bwana doctor tu, Kim Kardashian, black cchyna, Amber rose, Vera sidika, chagga bebe na wengine Mungu anawaona

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie kwa kweli ni mwoga sana kutumia dawa dawa au vitu kwa ajili mara kupunguza unene mara kuongeza makalio, mara kupunguza matiti au kuongeza hapana. Najikubali
Wenzio hata hawajiamini!
Lakini haya mambo sijui siku hizi hata kwanini mbona mama zetu walikuwa wanazaa watoto wa kutosha ila huji sikia wanahangaika kupunguza matumbo! Na wala yalikuwa yakawaida tu.....
 
Namshukuru sana Mungu sijawahi kuvutiwa wala kutamani umbo la Kim wala yyt yule. Namshukuru Mungu sana kwa kuniumba hivi nilivyo... kila alichonipa ni kzr hata we ukiona kibaya ni macho yako [emoji23][emoji23][emoji23]
Nadunda hata na mabutu yangu tatu kichwa na bado nangara NAJIKUBALI KNM..

Tumshukuru Mungu kwa kila alichotupatia wamama tunatumia mda mwingi sana kujipendezesha ili kuwavutia wanaume khaaa! Mbona wenyewe hawafanyi hivyo...
Mtakufa bure muwaache wanatumbua na kiba Ebitoke sie
Wewe ni mwanamke wa mfano
 
Watafanya migongo yetu ipinde kwa mazoezi, huko insta kila mtu busy na squat ili kishundu kiongeze...
Kumbe wao ni kwa bwana doctor tu, Kim Kardashian, black cchyna, Amber rose, Vera sidika, chagga bebe na wengine Mungu anawaona
Hahahaaa!!
 
Punguza kula vitu vya mafuta, vitu vyenye sukari nyingi, pungza kula wanga sana hasa usiku,
Fanya mazoezi, kunywa maji ya kutosha, kula mboga mboga na matunda, lala angalao masaa 7 kula kwa wakati, usile mrundiko kula chakula cha wastani, km ni ugali Dona mboga za majani, lbd na samaki na maharage kidogo, mboga ziwe nyingi kuliko ugali!!! Km tumbo halitaisha hilo litakuwa la kurithi
 
Hahaha........nabaki kuangalia picha zangu kabla sijaolewa najiona tofauti
 
Nikionaga mwanamke anaangaika na kuongeza ukubwa wa makalio na mdharau sana namuona ni mpungufu wa akili kama mwanaume anaangaika kuongeza ukubwa wa mb**o
 
Nawausia dada zangu , wasihangaike na kubadilisha umbo kabisaaaaa. Mfano mie napendaga mwanamke mneneee, tena awe na tumbo kubwa na matt makubwa NDIO NAINJOI NAONA CHAGUO LANGU, so be who u are there are people out there loves you. HASHTAG NIELEWENI HASHTG#
 
Ndio mpunguze kula hovyo...
Utakuta mwanamke anakula kwa wakati mmoja michemsho,mayai ya kuchemsha,mahindi na ndimu,coca cola,juice,chipsi kisha anashushia Balimi.

hahahhaa jaman nimecheka
 
Back
Top Bottom